True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

SEHEMU YA 8

nikiwa natafakari nini nifanye,ndoo iko njiani mercury imejaa ni nzito haitikisiki.nikasikia ngoma zinapunguzwa mlio,ishara ya babu kuachwa aongee na bibi mtunza mercury.
nikashusha pumzi na kujaribu kuisogeza upya ndoo ile.ajabu safari hii wala haikuwa nzito nilifanikiwa kuinyanyua.nikaisogeza kwa kupitia njia moja wapo ya mlango wa pango na kujibanza nayo pembeni nisubiri nini kitatokea,nikazima tochi.

baada ya dakika kadhaa nikasikia vishindo na mwanga wa kienge kama mtu anaingia ndani,nikajua ni yule babu karuhusiwa kuingia kukinga tone kama kawaida,wasi wasi ukawa atakuja upande niliopo au atapita mlango mwingine!!!nikiwa sielewi nikajipa ujasiri na kuwa mtulivu.nikashtuka kwamba babu anakuja upande niliopo,kikajua leo mambo yashakiwa magumu,anyway sio ishu huu ni utafutaji hata akinikuta ananijua na anaijua nia yangu.ajabu baba alifika mpaka pale hakuniona pamoja na mimi kujirishidha kwamba sikuwa nimejificha kiasi hicho,akapitiliza.hapo nikachoka,kiasi ujasiri niliokuwa nao ukageuka na kuanza kuwa hofu nzito,hata ile kiu ya mercury ikaanza kutoweka.nikaanza kuwaza kurudi nyumbani,ghafla mzee akawa anageuza kutoka,nikafikiria kuungana naye,lakini wacha nichukue na ndoo yangu,ajabu ndoo ikawa nzito kama awali,na mzee anazidi kuchanja mbuga kuelekea nje.nikaona wacha niachane nayo nitoke ile napiga hatua ya kwanza tu nikashikwa mkono na mtu nisiyemjua wala kumwona,nikaanza kuishiwa nguvu tena,najaribu kuwasha tochi lakini haina ushirikiano,nimeanza kutetemeka na kuhema kwa pupa,fahamu zikanitoka.
nikaja kushtuka nipo jirani na chupa,inaonekana sababu ya mwanaga wa michirizi myekundu inayoangusha matone yale yanayosubiriwa siku kadhaa.akili ikaanza kuwaza,hii ya kwenye ndoo ni tofauti na hii ama nini maana ya kufanyiwa haya!!!
nikiwa nimeanza kupiteza nuru ya matumaini,maswali yakaanza kunijia,aliyenishika ni nani???nibyule joka aliyenitoa nje na kuongea na mimi ama mzimu mwingine!!!taratiibu nikaanza kukumbuka fadhira za yule joka,tuliongea,tukawasiliana,akanibeba mpaka nje,hakuruhusu nibabaike.taratiibu nikaanza kujisikia huzuni na kujutia maamuzi yangu,kwanini sikufata utaratibu wa wazee wale wa kijijini!!!nikaanza kuichukia pesa.

wazo likanijia,nikaita kilugha (bibi),kimyaaa sana bila majibu zaidi ya mwangwi.
nikajiuliza kwanini hata popo hawajatawanyika kama mwanzo??kwani nimekuwaje??nimekufa au nimefanywaje???

itaendelea............
 
Unazingua we kenge. Acha huyo fala aendeleze Story yake, wewe anzisha yako.
 
Huyo mjinga kwa hyo alianzisha topic kwa lengo gani sasa, watu wakisoma anaumia roho, woooi akafie huko mbele ukichangia huko twitani watu hawako wengi au anataka kulipwa?
Kabisa ni mjinga,mtu unaanzisha kitu public,halafu unamnyamazisha mwingine anaekusaidia kukisambaza
 
Kama mnapenda izi mambo angalieni Tomb Raiding movies
Wachina wanazo nyingi sana mraenjoy kuliko kubembeleza hizi story.
 
JF ni jukwaa huru sasa unapolazimisha member kukusimulia kwa hiari yake halafu unamlazimisha. Unakiuka sheria za JF
Akikasirika anaweza kufuta stori zote alizoandika maana hujamchangia hata 100 ya bando.
N. B
Mtu kama anastory yake achangiwe hela ya bando ili aweze kupost maana hata akipotea utamuuliza mbona nimekupa hela ya bando na haujapost?
Moderator ifike mahala watu wanaoanzisha story alafu wanapotea bila kutoa sababu yeyote ambayo imewafanya wasimalize story zao, muwe munawapa ban hata ya mwezi mzima.

Hizi nindharau na ni zaidi ya matusi.
 
Usiwalaumu sana, huenda shughuli zao zimewatinga au MB zimelega.

Kuna stori huwa za kutunga hivyo inahitaji mtu atumie muda mwingi kupangilia,

Kuna stori watu huwa wanacopy, sasa kama mahali anapocopy bado hakuna mwendelezo mleta stori hubaki kimya,

Kuna stori huwa za kusikiliza vijiweni, ni hatari kama msimuliaji hataonekana kijiweni, muandishi wetu nae huishia mitini.

Kwa ufupi vyanzo vya stori hizi hutofautiana, labda tu stori au mkasa umhusu mhusika direct.
 
Kabisa ni mjinga,mtu unaanzisha kitu public,halafu unamnyamazisha mwingine anaekusaidia kukisambaza
Ni mjinga flani sasa hyo story watu wakisoma wengi yeye anaumia Ili iweje imagine wenzetu wenye technology wangekuwa na roho mbaya tungefika wapi sasa. Kalalamika wee hadi ikaondolewa humu.
Hawa wanaoanzisha story wachangiwe Wana roho za kimaskini flani na wanapenda kunyemyekewa
 
JF ni jukwaa huru sasa unapolazimisha member kukusimulia kwa hiari yake halafu unamlazimisha. Unakiuka sheria za JF
Akikasirika anaweza kufuta stori zote alizoandika maana hujamchangia hata 100 ya bando.
N. B
Mtu kama anastory yake achangiwe hela ya bando ili aweze kupost maana hata akipotea utamuuliza mbona nimekupa hela ya bando na haujapost?
Sasa wasiwe wanaleta story kabisa sio kuanzisha nusu then uchangiwe bundle huo ndo upumbavu ningekuwa mods ban ingetembea umaskini haundolewi kwa kuchangiwa changiwa hyo ni roho ya kiomba omba ka ya wagogo na ishindwe na ilegee maana ina dumaza akili
 
JF ina vihoja sana. Mtu asimulie kwa utashi wake. Sasa ww unamlazimisha akusimulie yote km hana kazi za kufanya.
Watu wako busy wanafanya kazi na siyo kushinda JF.
Unafikiri kuandika ni kazi rahisi?
Lete na wewe story yako tusome.
Hata km ungekuwa ndiyo mod. Unafikiri nani hatangaika na forum yako km mtu akisimulia nusu anapigwa ban?
Unamlipa? Km humlipi hangaike na forum yako ya nini?
Watu mpo busy kusikia watu wanasimulia nini.
Mpeni hela km hamna unabidi utulie mpk atakapoamua kuandika
Sasa wasiwe wanaleta story kabisa sio kuanzisha nusu then uchangiwe bundle huo ndo upumbavu ningekuwa mods ban ingetembea umaskini haundolewi kwa kuchangiwa changiwa hyo ni roho ya kiomba omba ka ya wagogo na ishindwe na ilegee maana ina dumaza akili
 
JF ina vihoja sana. Mtu asimulie kwa utashi wake. Sasa ww unamlazimisha akusimulie yote km hana kazi za kufanya.
Watu wako busy wanafanya kazi na siyo kushinda JF.
Unafikiri kuandika ni kazi rahisi?
Lete na wewe story yako tusome.
Hata km ungekuwa ndiyo mod. Unafikiri nani hatangaika na forum yako km mtu akisimulia nusu anapigwa ban?
Unamlipa? Km hunilipi nahangaika na forum yako ya nini?
Wewe ndio una kihoja na mjinga kuna ntu alikwambia uanzishe Uzi si viherehere vyenu kuanzisha mada robo Ili mvhangiwe bundle, unafikiria bundle za kuchangiwa zinaondoa umaskini mxiiiiiew.
Hafu alikwambia wanaongia humu hawafanyi kazi ni nani?
Mitoto mizima hovyo inatafta buku buku JF mtaja geuzwa na wanaume wenzenu
 
Ujinga unaanza pale unapoanza kusoma story za watu na kuwalazimisha watu wamalize story yote. Nani alikuambia ufungue uzi? Siyo km ni ujinga
Ujinga mkubwa ni kuanza kusoma story za watu. Umelazimishwa usome?
Kiherehere kikubwa ni kile unaposoma story halafu inaishia nusu unaanza kutokwa na povu juu ya mleta story yupo wapi? Unaanza kujifanya km ndiyo mod umpige ban? Amekosa nini?
Ukiwa hauna kazi za kufanya ndiyo matokeo yake haya ya kushinda mtandaoni kusoma story za watu. Ukiwa hauna kazi unakuwa mjinga, unadhurura mtandao tu.
Pole sana. Tafuta kazi za kufanya wala hautangaika kushinda JF

Usinichoshe na akili ndogo mie umeenda huko uchawini yamekushinda wataka uchangiwe kafie mbele huko alooo
 
Akili ndogo ni pale unapomlazimisha mtu amalize strory wakati hujamchangia hata mia wala haujamfungulia uzi
Nani anahitaji achangiwe siyo km wewe unahitaji uchangiwe story?
Utakuta mtu yupo shamba au kazi zimembana huko anapambana.
Anapoweka story anajua anachofanya. Kaa utulie, akitupia story soma asipotupia unatulia tu mpk atakapopata muda.
Umenifanya nicheke sana. Kwa hali hii ndiyo maana wanatoa story nusu.

Back
Top Bottom