True men don't forget

I'm I violence? Did you know me? I'm Majesty my bra don't judge me. I was a place without light food even a water, no consonant no one who to fight with. Brother kunawatu tumepitia njia ambazo hata ukielezewa utahisi story za kutunga2
Pingu ulizoweka zinaashiria msoto uliotokana na uhalifu..
 
Hamna chapisho la kiswahili au ni la Kikristo tu!?
Halafu kikristo chenyewe kigumu kweli kweli, hapa nimepitisha masaa mawili kusoma comments na dictionary yangu pembeni.
Hiki kikristo phonetically kiko sawa ila semantically sasa ndio mtihani wenyewe. Anyways ngoja tusubiri mwendelezo.
 
Bora yako wewe uliyeelewa na hizo Sema nini sijui na Phone nini sijui. Mimi hapa ni buluu tupu.
 
Kuna watu wanaiaminisha dunia kuwa mwanaume lazima ufungwe jela, yani huko jela unayoyapitia ndiyo yanakufanya uwe mwanaume kweli.

Uhalifu lisingekuwa swala la kujivunia, mlipaswa mjutie uhalifi na vifungo vyenu, badala ya kuvifanya vionekane ni sehemu ya ushujaa katika mapito ya mafanikio yenu.

Si ungi mkono hoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom