STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,638
- 16,566
Apana, kujifunza kidogo kidogo tu
Jamani waswahili tutafute jikwaa letu.
Yaani watu wote ni kimombo tu.
Jamani waswahili tutafute jikwaa letu.
Yaani watu wote ni kimombo tu.
HearWell said and after that you can here a girl said, " I want a man with new model car, a luxury house and good job". She did not know how you struggle to get such things.
Halafu kikristo chenyewe kigumu kweli kweli, hapa nimepitisha masaa mawili kusoma comments na dictionary yangu pembeni.
Hiki kikristo phonetically kiko sawa ila semantically sasa ndio mtihani wenyewe. Anyways ngoja tusubiri mwendelezo.
Watu wa kwenye huu uzi wanaongea kizungu cha wapi
Yeah don't give up nothing is permanentHata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea.
Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.
So sad bro ... Thanks You Beat it Now you are free ....Why were you there?(jailed)Yes 2015 in foreign country