True love na Umaskini nashindwa kuvihandle jaman.

dada white

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
1,228
514
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE AWAY.Nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.
 
Nani sasa maskini ni wewe mwenyewe au mwenzi wako??????
 
Bonge la swali kaka? Au wanaume tu ndo hatutakiwi kuwa maskini, kumbuka kuzaliwa maskini hakuepukiki as haupangi wewe ukazaliwe wapi, kwa nini msisaidiane na mwenzi wako kupambana na huo umaskini

Yuko selfish sana huyu inavyoonekana........Yeye anakuwa "concerned" na umasikini wa mwenzake lakini wa kwake hauoni................Ndio wale wanafikiri miili yao ni mitaji!!
 
Una mikono mingapi mwenzetu? au huamini kuwa pia wewe waweza kumtoa mwenzako kwenye umaskini?Hebu soma uone ni namba ngapi inafanya mwe maskini!
10 Great Rules That Will Help You Remain Poor All Your Life

  1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?
  2. Never plan how to spend your money: Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to count and recall how you spent it.
  3. Competing: Make sure you wear the latest clothes among all the workers in your office. Whenever your neighbour/friend buys a new phone, car or dress, you get one that is more expensive.
  4. Don't think of saving until you have real big money: How can you save when you earn so little? Those telling you to save are not sympathetic to your burning needs.
  5. Don't engage in activities usually reserved for the 'uneducated': How can you, a graduate, engage in petty trade or home- based production? That is for people who never went to school.
  6. Don't think of starting a business until an angel comes from heaven and gives you capital: How do they expect you to invest before you get millions of shillings? Even though more than half the businesses in your town were started with a few hundred shillings, you as a smart person can only start with millions.
  7. Complain about everything except your own attitude: Blame the system, the government and the banks that refuse to lend you money. They are all bad and do not want you to get rich.
  8. Spend more than you earn: To achieve this, buy consumer products in credit and keep borrowing from friends and employer.
  9. Get yourself a nice second- hand car that costs more than three times your gross monthly pay: That will surely keep you in debt long enough to hinder the implementation of any bad plans that could make you accumulate capital.
  10. Give your children everything they ask for since you are such a loving parent: They should not struggle for anything because you do not want them to suffer. That way, they will grow up lazy and hence poor enough to ensure they cannot help you in your old age.
 
nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.hadi uzuri na weupe wangu umeanza kufade away.nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.
aisee kaka zangu mna kazi sana The Boss HorsePower Mwita Maranya Tuko ericB52 Mohamedi Mtoi SnowBall kwa kweli kazi mnayo somesheni sana watoto wenu wa kiume wasijenangwa namnahii mbeleni lol
 
Last edited by a moderator:
Wote wawili

Dada white, kama ni mkristo rejea; 1 Wakorintho 13: 4-8..,

4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. 5 Mwenye upendo hakosi adabu, hatafuti faida yake binafsi, wala hana wepesi wa hasira; haweki kumbukumbu ya mabaya, 6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. 7 Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. 8 Upendo hauna kikomo kamwe.

Pls jipime kama kweli una upendo wa kweli kwa mwenzio. Jibu kama ni ndio then furahia maisha na mpenzi wako. Umasikini sio ugonjwa wala laana, mkijituma na kushirikiana kwa umasikini utawakimbia.
Wenzio wanalilia upendo wa kweli ila wewe unataka kuupiga teke kisa umasikini..??
Kila la kheri!
 
Wote wawili

Kama wote wawili ndo vizuri

huo hauna njia ya mkato zaidi ya kuongeza bidii ya kazi na kutafuta na kutumia opportunities zilizopo
wewe na huyo mmeo

kama unataka sana hela kaolewe na BANK ya CRDB or NMB na nyinginezo
 
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE AWAY.Nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.

Kaeni pamoja, jadilianeni kuhusu umaskini wenu kwa pamoja (badala ya kumlaumu mpenzi wako) na kisha mtafute namna ya kuondokana na umaskini. Mnaweza kushauriana kufanya kazi kwa bidii, kujaribu biashara, kujiunga kwenye vikundi vya ujasiria mali na kuwa na plan nzuri ya kutunza na kuinvest pesa zenu. Acha kukaa nyumbani na kumuacha mwenzio anateseka na maisha huku wewe unafikiri urembo wa ngozi yako, kumbuka kuwa uzuri wa ngozi yako utatokana na kushirikiana kwa pamoja kuuondoa umaskini mlionao. Zaidi ya hapo uatishia kwenye kufanya uhuni .... na utapotea mbali kwenye hii dunia ....!
nivea nimehuzunishwa na hili, lol!
 
Last edited by a moderator:
Kama wote wawili ndo vizuri

huo hauna njia ya mkato zaidi ya kuongeza bidii ya kazi na kutafuta na kutumia opportunities zilizopo
wewe na huyo mmeo

kama unataka sana hela kaolewe na BANK ya CRDB or NMB na nyinginezo
nim echeka sana kaolewe na bank
 
profilepic71864_1.gif

ni huyu hapa HorsePower ambaye ni maskini
 
Last edited by a moderator:
Una mikono mingapi mwenzetu? au huamini kuwa pia wewe waweza kumtoa mwenzako kwenye umaskini?Hebu soma uone ni namba ngapi inafanya mwe maskini!
10 Great Rules That Will Help You Remain Poor All Your Life

  1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why hurry to get up?
  2. Never plan how to spend your money: Whenever you get money, start spending it right away and when it is finished, try to count and recall how you spent it.
  3. Competing: Make sure you wear the latest clothes among all the workers in your office. Whenever your neighbour/friend buys a new phone, car or dress, you get one that is more expensive.
  4. Don't think of saving until you have real big money: How can you save when you earn so little? Those telling you to save are not sympathetic to your burning needs.
  5. Don't engage in activities usually reserved for the 'uneducated': How can you, a graduate, engage in petty trade or home- based production? That is for people who never went to school.
  6. Don't think of starting a business until an angel comes from heaven and gives you capital: How do they expect you to invest before you get millions of shillings? Even though more than half the businesses in your town were started with a few hundred shillings, you as a smart person can only start with millions.
  7. Complain about everything except your own attitude: Blame the system, the government and the banks that refuse to lend you money. They are all bad and do not want you to get rich.
  8. Spend more than you earn: To achieve this, buy consumer products in credit and keep borrowing from friends and employer.
  9. Get yourself a nice second- hand car that costs more than three times your gross monthly pay: That will surely keep you in debt long enough to hinder the implementation of any bad plans that could make you accumulate capital.
  10. Give your children everything they ask for since you are such a loving parent: They should not struggle for anything because you do not want them to suffer. That way, they will grow up lazy and hence poor enough to ensure they cannot help you in your old age.

Nadhani dada white hii itamfaa aone jinsi ambavyo unaweza kuukaribisha umaskini.Mi najua hard work pays alot,fanya kazi/biashara kwa bidii na iko siku utatoka hapo ulipo.
 
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE AWAY.Nachanganyikiwa jamani moyo wangu unaishiwa nguvu kadri ya siku zinavyozidi kwenda.
wenzio wanaopenda utajiri hawauhusishi moyo..........imekula kwako
 
profilepic71864_1.gif

ni huyu hapa HorsePower ambaye ni maskini

Naamini kama sio mtunzi wa nyimbo ni vitabu ukiisoma vizuri utagundua ni kama phase au paragrafu. Pia tujaribu kuwa Serious ili tuwapo na shida wanajamii watusaidie kama wanavyotuchukulia....Thanks dada umeonyesha umasikini wake
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom