True fact

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
880
300
1ST YEAR

Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo.

Baada ya leacture,alikuja kwangu na kuniomba notes za siku ya nyuma kwa sababu hakuweza kuingia darasani siku iliyopita. Baada ya kumpa akasema "asante" na kushikana mikono na mimi.

Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

2ND YEAR.!

Simu yangu iliita, kupokea alikuwa yeye alikuwa akilia akinielezea jinsi gani boyfriend wake broke her heart, she asked me to come over because she didn't want to be alone. Kwa kuwa ni rafiki yangu kipenzi ilinibidi kwenda kumfariji.

As i sat next to her on the sofa, nilikuwa nikimuangalia Machoni nikitamani awe wangu. Baada ya masaa mawili baada ya kuangalia nae movie mbili tatu na kula nae chakula pamoja akarudi katika hali yake ya kawaida. Hivyo akaamua kwenda kulala, before akaniangalia na kuniambia "asante" na kunipa tabasamu tamu.

Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

3RD YEAR

Siku moja kabla ya Tamasha la muziki chuoni alikuja kwenye meza yangu leacture room na kuniambia "Boyfriend wangu amepata udhuru hivyo naomba unipe kampan leo usiku katika tamasha la muziki"

Kwa kuwa tuliwekeana promice kwamba ikitokea kila mmoja wetu amekosa mtu wa ku-date nae basi tutaenda pamoja just as "friends" hivyo tukaenda.

Katika tamasha baada ya kila kitu kuisha na muziki kufungwa, nilikuwa nimekaa nje ya ukumbi nikimuangalia jinsi alivyokuwa akicheka na rafiki zake, she saw me looking to her she smiled at me. I want her to be mine lakini yeye alikuwa hafikirii hilo kabisa na nilikuwa nikilitambua hilo. Then she said to me "nimekuwa na muda mzuri na wewe asante sana" and she gave me a sweet smile.

Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

GRADUATION DAY.!

Siku, wiki, mwezi vikapita... ilikuwa ni mahafali yetu tukimaliza masomo ya chuo. Akainuka kwenda kutunukiwa shahada yake ya Uchumi. Nilikuwa nikimuangalia akiwa amependeza sana siku ile.

I wanted her to be mine, but she didn't notice me like that, and i knew it.
kabla watu hawajatawanyika kwenda makwao, alikuja kwangu akiwa na vazi lake la mahafali, na kulia pale nilipomkumbatia. Akainua kichwa chake na kuniambia "you are my bestfriend asante sana"

Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

MIAKA MITATU BAADAE.!

Nikiwa kanisani Yule Msichana alikua anaolewa. Nilimuangalia akisema "ndiyo nakubali " and drive off to new life. Moyo wangu ukapasuka "paaa"... Akaolewa na mwanaume mwingine.

I wanted her to be mine, but she didn't see me like that, and i knew it. Lakini kabla ya kwenda ukumbini, alikuja kwangu na kusema "asante sana, u have been my best friend ever" kisha akanikiss kwenye paji la uso akiwa na vazi lake la harusi.

Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.!

KWENYE MAZISHI.!

Miaka mitano baadae, nilikuwa kwenye ibada ya mazishi ya binti nilimpenda lakini nikaogopa kumwambia.. Binti aliyekuwa my best friend.. I looked down katika jeneza lilokuwa na msichna ambaye alikuwa ni "bestfriend" wangu.

Katika Service ya mazishi wakasoma diary ya Bestfriend ambayo alikuwa akiiandika enzi za maisha ya chuo. Mchungaji akasoma yaliyokuwemo kwenye Diary.. ilikua ikisomeka hivi;

"I stare at him napenda awe wangu, but he doesn't notice me like that, and i know it.....

Alisoma mchungaji kisha akaendelea...

"Nilitamani kumwambia. Nilitamani ajue kuwa nataka tuwe zaidi ya marafiki. Nilimpenda but i was just too shy, and i ddnt know why.
 
Ooh i was just too shy, and i ddnt know why.!
Hii inaaply kote kote kwenye makinikia, mapenzi, kanisani n. k
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom