Troy Movie

I am posting this movie, hoping that it will teach, it has many lessons: mistakes, pride, trust, enemy, victory, failure, etc.,
Aliwaangusha tu Priyanka alivokataa kucheza kama hellen maana ukimuangalia hellen kwa kweli sio mzuri kiasi cha kuleta vita kama ile ila movie imechezwa sana
Maneno yaliyotumika mle ndani huwa yananipa hamasa sana hasa"that why no one will remember your name"peace is for women and the weak"men rise n fall like the winter wheat"hector the breaker horses"nk mpka sasa ndio best movie kwangu hasa kipengele cha setting characterization plotting na diction
 
Pia kuna kitu cha Lone survivor ni kama troy huonesha jinsi kosa dogo sana la kimaamuzi linavyoweza kuleta madhara sana kama ambavyo king Priam angeamua kumsikiliza hector ile vita ingeisha mapema sana na troy ingekuwa salama
 
Kosa lingine kubwa ni wale wazee kuingiza ile ambush Troy wakidai ni zawadi kutoka kwa Appolo.
 
Kosa lingine kubwa ni wale wazee kuingiza ile ambush Troy wakidai ni zawadi kutoka kwa Appolo.
Wale wazee walijikita sana kwenye imani kuliko uhalisia wangemsikiliza dogo Paris wakalichoma isingekuwa vile
Afu hizi vyuma za gym nyingi nzuri zimeandikwa Trojan sijui ni heshima kwa jeshi la wale jamaa maana waliweza kuwazuia Greece kwa mda sana
 
Give him too many battle n people will forget who is king#Argemenon#mzee ana misemo kinyama
Nothing unites people like a common enemy! Anapenda vita na kupora himaya za wenzake. Hampendi Achilles lakini cha ajabu ndiye anayempatia ushindi.
 
Wale wazee walijikita sana kwenye imani kuliko uhalisia wangemsikiliza dogo Paris wakalichoma isingekuwa vile
Afu hizi vyuma za gym nyingi nzuri zimeandikwa Trojan sijui ni heshima kwa jeshi la wale jamaa maana waliweza kuwazuia Greece kwa mda sana

Yawezekana. Mfano, kirusi cha computer kinachoitwa trojan ni derivative ya hiyo story.

"In computing, Trojan horse, or Trojan, is any malicious computer program which is used to hack into a computer by misleading users of its true intent. The term is derived from the Ancient Greek story of the wooden horse that was used to help Greek troops invade the city of Troy by stealth."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom