Troy Davis anyongwa

Pdraze

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
615
322
Licha ya shinikizo la kimataifa kupinga hukumu ya kifo dhidi ya Troy Davis, jimbo la Georgia nchini Marekani limemnyonga kijana huyo na kuzusha shutuma kubwa kutoka ulimwengu na wanaharakati wa haki za binaadamu. DW-WORLD.DE,
 
Licha ya shinikizo la kimataifa kupinga hukumu ya kifo dhidi ya Troy Davis, jimbo la Georgia nchini Marekani limemnyonga kijana huyo na kuzusha shutuma kubwa kutoka ulimwengu na wanaharakati wa haki za binaadamu. DW-WORLD.DE,

hapa c mahala pake peleka habari mix
 
habari haiko mahala pake na wala hatumjui huyo troy

hebu do the needful
 
may GOD rest him in peace.....thanx 4 the info but humu ka ni sehem ya ajira na tender sasa hiyo cna uhakika kama inatimiza vigezo vya kuwa humu....
 
hajanyongwa, it was lethal injection. racism at its best! hata kwao haki inauzwa!
 
there was no enough evidence that he killed. ukiangalia zone reality,utaona very unfair trials! kuna kijana (nimesahau jina), black, alifungwa maisha bt for rape, na alikamatwa kwa victim kum-identify kwenye picha ya kuchorwa (projection). akafa kwa tb (america huko). after he died,one bastard hapo jela akajitokeza kua ni yeye ndo ali-rape! he was tried, bt already kijana wa watu akafa, after immunity problems due to severe depression!
Aliua!yeye pia kauliwa.muosha huoshwa
 
Afu jamaa hadi dakika ya mwisho ya maisha alikua akisisitiza kuwa yeye hana hatia kwenye ile case.
 
Aliua!yeye pia kauliwa.muosha huoshwa

usilolijua ni kama usiku wa giza. Tena inaonekana umeropoka tu. Hii kauli yako mbaya. Kafuatilie case yake maana inaonekana hujui. Jamaa amesingiziwa, haki za weusi america hazifuatwi.
 
Hauwawe ndio nini?Clearly si tu haujui uandikacho balì hata usemacho...please kindly soma habari ya hii kesi vizuri thou nahisi hata haujaisoma kabisa.

tatizo hawa jamaa hawaijui hiyo kesi. Wanaamua kuropoka tu.
 
Back
Top Bottom