Trouble brewing in Nigeria?

You have a defensive and fatalistic approach to African problems. We have had that approach since independence and it has not helped us a bit. It's time we start assesing ourselves from a critical standpoint (better late than never). Kukaa na kuwalaumu hao mabeberu na makabaila kila kukicha ni sawa na kupoteza muda. Trust me Bro!

Sawa mkuu tuanze wapi kuwalaumu wanigeria sasa?

Tuanze na Rais aliyepo Jonathan; ambaye alikuwa western darling, alipata media coverage as if ataitoa nigeria ...

Wananchi wako barabarani wanataka mafao; IMF na WB wanataka mikopo yao waliyotoa zamani plus interest??

tufanyeje?
 
Mkuu mmomony'oko wa nchi ya Nigeria haukuanza leo na hao IMF na WB. Hii nchi imekuwa chini ya utawala wa kijeshi kwa miongo kadhaa. Wameshapigana wenyewe kwa wenyewe. Wana udini na ukabila wa hali ya juu. Hata matapeli wanaoogopewa mtandaoni ni hao hao. Kuchambua uozo wa Nigeria inahitaji kurasa nyingi. Badala ya utajiri wa mafuta kuwanufaisha wananchi wa kawaida imekuwa ni kama laana kwao. Ni genge la wachache wanaonufaika. Sasa hapo usiwalaumu sana mabeberu na makabaila wakati wanaowawezesha kukwapua ni wazawa wenyewe!
 
Chanzo cha hayo yote ni nini? nani anayekuza udini na ukabila? wanatumia sera gani za uchumi, kuwepo kwa mafuta ni sehemu ya tatizo kwani mabeberu wanaamini mafuta yote duniani lazima wavune wao; otherwise havuni mtu...

Tuendelee kulaumu wa nigeria ni wadini wakubwa, matapeli wakubwa, wakabila wakubwa, kweli tumepatikana aisee?

Kule Iraq kulikuwa hakuna Wassuni wala wa shia, mabeberu wameweka ukuta, wamewatenganisha, wameshatufundisha dunia nzima sana (ukiwemo wewe), tayari unaamini kwamba iraq wanauana kwasababu ya usuni na ushia..

Ok tumesomeshwa tukasomeka vema..wamefanikiwa aisee..
 
Kwa Rais Jonathan anatawala kidini?
Goodluck Jonathan was an accident. Mpaka leo Wahausa hawajamkubali. Unakumbuka alipokuwa Vice President, hata mawasiliano yake na Ya'ardua aliyekuwa mahututi hospitali ilibidi yapitie kwa mke wa Ya'ardua? Hata baada ya kifo cha Ya'ardua Wahausa walijaribu kuderail uteuzi wake. Lakini kwa sababu amezaliwa na jina Goodluck, walishindwa kumzuia. Point zangu zote ni valid.
 
Kabla ya huo udini kulikuwa na ukabila (unakumbuka pia vita vya Biafra?). Fuatilia vizuri historia ya Nigeria tangu enzi za uhuru (kama hukuwepo wakati huo). Sikatai kwamba wakoloni wamechangia matatizo ya Africa. Nisemacho ni kwamba wakati umefika tuanze kujikosoa sisi wenyewe badala ya kukaa na kuwalaumu hao wakoloni wakati sisi wenyewe tunaendela kuboronga kila siku, saa na dakika zinapopita!
 
hilo group au groups, baba yao ni cia...ambao kwa sasa huwa wanatumia sub contractors e.g black waters, canvas ambazo hutafuta locals na kuwapa mafunzo na kuanzisha mbinde sehemu husika.

Ukitaja cia, umetaja serikali ya us.
jamaaa nasikia wana taka kukamata mafuta kule na uje wano fanya hivyo ni wafanya biashara wakubwa wa mafuta ,wanadai kwamba mafuta ya nigeria yameshikwa na wafaransa sasa wanataka jamaa wajitenge kuna uwezekano mafuta yamegundukliwa kule north
 
Goodluck Jonathan was an accident. Mpaka leo Wahausa hawajamkubali. Unakumbuka alipokuwa Vice President, hata mawasiliano yake na Ya'ardua aliyekuwa mahututi hospitali ilibidi yapitie kwa mke wa Ya'ardua? Hata baada ya kifo cha Ya'ardua Wahausa walijaribu kuderail uteuzi wake. Lakini kwa sababu amezaliwa na jina Goodluck, walishindwa kumzuia. Point zangu zote ni valid.

Point siyo valid ila copy and paste ya kitu walichokuwa wanasema wanahabari wa west kuhusu Jonathan nothing new hapo..

Kama ambavyo wewe na kale kikundi chenu cha nyerereism, pengoism and slaaism in Tanzania msivyomkubali JK mnataka kuleta vita?? lakini mmeshindwa kwasababu hamjapata bado western affilliation ili muanze vita in the name of ufisadi, blah, blaha kumbe ni uroho tu na chuki.

ndio maana nasema whenever there is war, there is resources and there is western influence..pharaoh like
 
OccupyNigeria Protesters shut down Town Hall meeting with Minister of State at the Grand Hyatt hotel, New York, NY.

Naona Maboboo USA wamefanya kweli haswa. Tena wamemkalia kooni kwa kuchelewa kufika kwenye mkutano na kudanganya.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mgeni wa mtandao? Hapa sio mahala pake. Umekosea!

Ulimwengu wa Internet unabadilika kila siku....wapo wanaoneemeka na wapo mazuzu wanaoibiwa kwenye mitandao kutokana na uchanga wao kwenye mambo ya Internet. Hivi sasa kuna kitu imeanzishwa; jaribu kugonga hapa WAZZUB - The Power of "We"! ili upate maelezo zaidi. Kwa kifupi, huo ni mtandao sawa na Google, Yahoo, Facebook au mtandao mwingine wowote unaoufahamu! Tofauti iliyopo ni kwamba, waanzishaji wa mtandao huu wanadai kwamba kwa wale watakaojiunga nao(members), watakuwa wanalipwa malipo kutokana na matangazo yatakayopatikana kwenye mtandao huu! Wapo, wanaoamini kwamba jambo hilo ni la kweli (kwamba members watalipwa) na wapo ambao hawaamini kabisa! Binafsi, ninaamini kwamba, ktk dunia hii lolote linawezekana! Unachotakiwa kufanya ni umakini wako tu!! Kama jambo lenyewe linakuambia utoe kwanza pesa, then achana nalo! You are looking for money; so how come utoe pesa kwa mwingine kirahisi rahisi tu hivi!!

Uzuri wa hao jamaa kwenye hiyo link, hawatozi chochote; ila wanadai watakaojiunga watakuwa wanalipwa!!!! Imekaaje hii?! Kwamba, unajiunga, then unawa-invite wenzako idadi yoyote ile! Assume ume-invite 5 friends, na wao kila mmoja aka-invites 5 friends, na hao nao kila mmoja akafanya hivyo hivyo, inaweza kufikia wakati kwenye chain yako ikawa na members 625! Ifikapo hatua hiyo, jamaa wanadai mtu kama huyo anaweza akawa analipwa Dola za USA 3125, yaani zaidi ya Shilingi 4,600,000/= kwa mwezi!!!! Yaani, ipo hivi:

1st. Generation 5 x $1.00 = $ 5.00

2nd. Generation 25 x $1.00 = $ 25.00

3rd. Generation 125 x $1.00 = $ 125.00

4th. Generation 625 x $1.00 = $ 625.00

5th. Generation 3125 x $1.00 = $3,125.00

Mnaonaje hapo waungwana?! Inawezekana au haiwezekani?! Mimi sijui, lakini nime-join kwenye hii kitu kwavile sina cha kupoteza!! Na wewe nakushauri jaribu kwavile hauna cha kupoteza! Hata hivyo, usithubutu kulipa fedha yoyote kwa hatua yoyote, unless kama umejiridhisha kwamba hauibiwi!

Unachotakiwa kufanya hapo, ni kugonga kwenye hii linkhttp://signup.wazzub.info/?lrRef=95d54
na kuifuata, kisha unajisajili! Ukishafanya hivyo, nawe utapewa link yako ambayo utaitumia ku-invites your fellows! Unaweza kutumia njia unayoiona ni muafaka kwako katika ku-invites friends. Unaweza kuwatumia link utakayopewa kwa njia ya e-mail au unaweza kuweka maelezo kama nilivyofanya mimi! Aidha, upo huru ku-copy haya maelezo yangu na kuyatumia na link yako! Jambo la kukumbuka ni kwamba, ukitumia haya maelezo yangu, basi toa hiyo link ya kwangu kisha paste link yako utakayopewa wewe! Ukisahau kufanya hivyo (kuweka link yako), utakuwa unainenepesha account yangu!

.....usisahau kwamba ni wale wanafunzi wa mwanzo kabisa ambao waliamini na kuamua kumfuata YESU ndio waliopiga bao! Si hivyo tu, pia ni wale Maswahaba wa mwanzo walioamua kumuamini na kumfuata Mtume Muhammed (SAW) ndio ambao walineemeka kwanza na mafundisho kutoka kwa Allah! Nashauri wengi tujaribu hii kitu, halafu tupeane taarifa hapa hapa FB itakapofika hapo May 2012 ambapo malipo ya awali wanadai yatafanyika kwa members wake watakao-register!
 
Hawajatoa ripoti ya Tanzania itasambaratishwa lini na udini? Tunatamani kuona Islamic Republic of Southern Tanganyika na Christian Republic of North Tanganyika! Washabiki wa udini mpooo???
 
Point siyo valid ila copy and paste ya kitu walichokuwa wanasema wanahabari wa west kuhusu Jonathan nothing new hapo..

Kama ambavyo wewe na kale kikundi chenu cha nyerereism, pengoism and slaaism in Tanzania msivyomkubali JK mnataka kuleta vita?? lakini mmeshindwa kwasababu hamjapata bado western affilliation ili muanze vita in the name of ufisadi, blah, blaha kumbe ni uroho tu na chuki.

ndio maana nasema whenever there is war, there is resources and there is western influence..pharaoh like

Kwa kauli hiyo Tanzania hakuna ufisadi. Serikali ya Kikwete haiendeshwi kwa ufisadi. Yuko wapi Jairo?
 
Brother you are deceived as many others who thinks within those lines...

Americans creates corrupt leaders, remove good leaders, (by force or undue influence) and support chaos for their economics and political gains, there are so many examples of leaders with vision who were toppled just because they challenge the system (western values)

Yes we have ours internal problems; but external problems have major consequences than you thought, as long as a country is blessed with scarce resources, i.e. oil, minerals etc.. these oppressors; they will come and grab it..they are totally uncivilized, inhuman and very cruel..indeed, they are pharaohs of our time..

i think washatusoma na kujua weakness zetu thats why wanatuendesha lkn kama tunamsimamo wangetuogopa na kutuingia kwa akili so tusiblame anyone 4 our own weaknesses kwani hao wazungu wana nini cha zaid mpk watutishie!
 
Gunmen kidnap American in Nigeria's delta region
By Austin Ekeinde

PORT HARCOURT | Fri Jan 20, 2012 3:17pm EST

PORT HARCOURT (Reuters) - Gunmen kidnapped an American working for Marubeni Corp in Nigeria's oil-rich Niger Delta region on Friday, killing his driver and demanding a 50 million naira ($310,300) ransom, a security source said.

The U.S. embassy confirmed that one of its citizens had been abducted.

"A foreign national was kidnapped this morning in Warri by gunmen who trailed him from Sapele," Charles Muka, spokesman for the Delta Police Command, told Reuters.

"They killed his police escort and forcefully took him away from the car. He was going to the bank when the attack occurred," he said.

A security source, who could not be named, said that the hostage was an American working for Japanese conglomerate Marubeni, but gave no further details.

"The U.S. Embassy and Consulate are aware of the kidnapping of an American citizen this morning in Warri. We continue to monitor the situation closely and assist," a spokeswoman for the U.S. embassy told Reuters.

The Niger Delta, heartland of Africa's biggest oil and gas industry, is prone to bouts of unrest and riven by militant factions. Gangs use guns and speedboats to run criminal fiefdoms that profit from kidnapping and oil theft.

Militant activity decreased after an amnesty for several commanders in 2009, but the region remains volatile.

(Additional reporting by Joe Brock in Abuja; Writing by Tim Cocks; Editing by Louise Ireland)

Maharamia wa Delta nao naona wameamua kurudia kazi yao!
 
Many feared dead as deadly suicide blast, explosions rock Kano
On January 20, 2012 · In News
kano-bomb.jpg
KANO (AFP) – A suicide blast and a series of other strong explosions rocked the city of Kano on Friday, killing at least two officers, a police source said, with many others feared dead.

A senior police source said the suicide blast occurred at a regional police headquarters in Kano, the largest city in mainly Muslim northern Nigeria. Some 20 other explosions were also heard along with gunfire between blasts.

Residents reported blasts and gunfire at the state police headquarters and said that at least two other police posts appeared to have been targeted.

Local television was reporting that scores were feared dead in the attacks. Police were not responding to phone calls.

"There was a suicide attack on the police zone 1 headquarters," the senior police source said on condition of anonymity. "So far two officers have been killed and the bomber also."

The country's emergency agency confirmed several explosions, including one reported at the regional police office, but were unable to get immediate access due to blocked roads.

"There are so many of these heavy blasts around the town," said Abubakar Jibril, an official with the National Emergency Management Agency in Kano. "They have blocked the road."

An AFP journalist heard what sounded to be some 20 explosions coming from at least two neighbourhoods in the city. Smoke could be seen billowing from the areas.

The loud explosions resulted in chaos, with motorcycles and cars fleeing the areas.

"It's terrifying where we are now," one resident said. "Bombs are going off inside the police headquarters, and then shootings between police and some gunmen."

Vanguard Nigeria
 
Back
Top Bottom