Tropical Pesticides Research Institute (TPRI)

Ofisi yao kwa dar ipo wapi? Kwa anayejua anisaidie
 
Hawa TPRI miaka ya zamani(80s kushuka chini) walikua wanazushiwa kua eti ni wanyonya damu🤣🤣🤣.

Ama kweli tumetoka mbali kama jamii ya Watanzania
 
Makao makuu yao kama sijakosea yapo Arusha Ngaramtoni shukia kituo cha kibaoni ukiwa waenda Ngara, hapo waulize bodaboda nauli 1000 hata kwa miguu watembea sio mbali ki hivo Mkuu.
 
Makao makuu yao kama sijakosea yapo Arusha Ngaramtoni shukia kituo cha kibaoni ukiwa waenda Ngara, hapo waulize bodaboda nauli 1000 hata kwa miguu watembea sio mbali ki hivo Mkuu.
Topic ya kitambo sana hii(2017)
Nina imani mdau ameshamalizana nao.
 
True Mkuu, ila nadhani na Raia yeyote ambaye atapata changamoto kama hii, basi ataona uraisi wa kufika ofisi zao kama yupo Arusha.
 
Una shida na ofisi au unataka kuomba field
Nilikuepo naulizia kama naweza kupata nafasi ya kuhamia hapo kutoka halmashauri ya wilaya kuja kufanya kazi TPRI. Mimi ni mtumishi wa serikali Nina afisa wa mifugo nipo kanda ya ziwa Nina B. SC Animal science (SUA) and M. Sc Tropical Agriculture (Bangkok). Kama wewe ni mhusika wa pale naomba tuwasiliane inbox
 
Back
Top Bottom