Tricks

loving

Senior Member
Aug 27, 2012
137
34
Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidie:confused::confused::)
 
Heeee hatari kweli hii, kwani wakati mnaanza uhusiano mlitumia mbinu gani?
 
Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidie:confused::confused::)

Mueleze ukweli tu kwamba hauna nia nae tena, pengine yale mapenzi uliokuwa ukiyahisi kutoka kwake hayapo tena, kama kuna tatizo huenda akajirekebisha na mkarudisha mahusiano yenu tena na kama ndo ishashindikana ajue tu ukweli kuliko kumletea USUNGURA.
 
Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidie:confused::confused::)
hebu eleza sababu kwanza za kutaka kumwacha itatusaidia kukupa ushauri
 
Ameajiriwa au anshughuli yoyote inayomuingizia kipato?
Kama ndio niPM namba yake hayo mengine tutavumiliana tu..
 
Heheeh,hi hainaga a better way,lazma anaeachwa aumie tu..js dnt b harsh to her,for more info tembelea google
 
mapenzi kizungu zunguuuu.....wewe unafikiria kumwacha lakini wenzio wanahaha kumpata..
 
Habari wandugu
dhumuni la thread hii ni kuwaomba ushauri au.mbinu za kumuacha mtu bila kumuumiza. Na relation iliyokaa muda. Plz matuc kejeli vumilia nisaidie:confused::confused::)

Sidhani kama ukienda hospitali utapewa dawa bila kupima. Umeomba ushauri lakini ulelalia upande wako. Hebu weka sababu watu wajue waanzie wapi. Yawezekana unaetaka kumwacha kakukosa kuku-ufoo, . Weka wazi, si mbaya kufuta na kuanza tena.
 
Kama hutaki kumuumiza maana yake bado unamjari na kumpenda.

Then mbona unataka leta manyokanyoka?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom