Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David Wakati (TBC Live) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David Wakati (TBC Live)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pascal Mayalla, Dec 5, 2011.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Tribute to David Wakati, Kikwete, Mengi, Nchimbi na wengine, Wamzungumzia David WakatWatch TBC Live Now!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Safi sana...
  Naona Live.
  Ameanza Dr Nchimbi akiwakilisha salamu za rais.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Mzungumzaji wa Kwanza ni Waziri wa Habari, Dr. Emmanuel Mchimbi, aliwasilisha salaam za rais Kikwete.
  Rais ana msiba wa kifamilia hivyo atatembelea familia kutoa pole zake baada ya msiba.

  Mchimbi kasema Mzee Wakati, alitanguliza mbele maslahi ya taifa.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mzee Kasongo Hamza anaelezea Historia ya Watangazaji wakongwe...
  TBC ina scratch kishenzi, sijui ni kwangu tu!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Mzee Mengi anasema David alikuwa mnyenyekevu. Waandishi wajifunze, kusema, kuandika na kutangaza ukweli mtupu!.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Anafuatia mzee Mengi, anasema waandishi wote watalazimika kumkumbuka Mzee WAKATI kwa kutangaza ukweli mtupu...Kwaheri David, anamaliza!
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Saa hizi ni kuweka mashada. Awali MC, Hamza Kasongo alimzungumzia Mzee Wakati, alizidiwa na kukatiza kwa machozi!
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Askofu Dr. Valentine Mokiwa, anamzungungumzia David Wakati, alikuwa Down to Earth.

  Alikuwa muadilifu aliyesimama kwenye ukweli.

  Walimtizama kama kioo
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Dikson Saileni

  Mzee Wakati alikuwa mtu mkarimu sana, alikuwa amebobea kwenye lugha ya Kiswahili.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Mkubwa Ally, David Wakati alikuwa gwiji wa utangazaji!
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Salim Mmbonde: David Wakati katuachia kuheshimu kazi. Kazi ya utangazaji inahitaji uvumilivu, umakini na ustahumilivu!
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Aboubakar Liongo. "David Wakati amenifikisha hapa nilipo"!.
   
 13. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Sam Ruhuza, Katibu Mkuu wa NCCR -Mageuzi "Mzee Wakati alikuwa mcheshi"!
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Mhe. Harold Maruma-Diwani wa CCM, "David Wakati alikuwa mpenda watu. alifit in kwa watu wa rika zote".
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Alfred Magai...David alikuwa mpenda watoto, na alipenda sana kazi yake...
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Alfred Magani "Mzee Wakati alikuwa mtu mwema, mcheshi"!
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Akitanda na Muhabi, vijana wa CCK pia wamemzungumzia, Divid Wakati alikuwa ni tunu!
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Chama cha CCK(bado hakijasajiliwa). Katibu Mkuu wake amesema Wakati alikuwa Mwalimu mzuri!
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,440
  Trophy Points: 280
  Mandela Wakati, mtoto wa David Wakati, akizungumzia legacy ya baba yake, very humble, down to earth, legacy yake ni uadilifu wake!

  Kipindi kimekwisha.
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kipindi kimeisha baada ya Pasco kujifagilia kwa kipindi chake cha zamani cha Kitimoto, akieleza kuwa yale yote yalikuwa mafunzo aliyofunzwa na Mzee David Wakati.
   
Loading...