Tribute to Benjamin William Mkapa: Mchango wa BWM Kwenye Tasnia ya Habari ni "Ukweli na Uwazi"-On The Bench-.Dar 24 Blog.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,180
Wanabodi .
Baada ya kustaafu rasmi uandishi wa habari, sasa mimi nimekuwa ni Mwalimu wa kupika vijana.

Karibu.

P
 
Umestaafu rasmi uandishi kwamba ndio hautaonekana tena kwenye TV? au hautaonekana tena JF?

Kuhusu kuwapika vijana, Je, kuna chuo/ darasa la uandishi wa habari umelifungua mahali?

All in all, all the best kwa majukumu mapya.
 
uandishi Wako kila siku ni siasa tu ,kuna mambo mengi sana katika nchi yanatakiwa kusemewa!!

Je umewahi kujua waastafu wa URAFIKI na TZR wana miaka mingapi hawajalipwa mafao yao, nini kwanini kwenye mambo ya wananchi mnakuwa Nyuma?

Je umewahi kujua hali za shule za kata katika mikoa mbalimbali? Maana katika nchi hii kuna shule zaidi 389 hawana maabara?

Je umewahi kujua kile kiasi cha pesa (Trillion 1.5) nilikuwaje?

Je umewahi kujua Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma hawana maji kwa miaka 50 sasa.

Jamani taaluma zenu tumieni vizuri

Mr mkiki
 
kila mtu ashinde mechi zake...acha kumpangia mtu kazi ya kufanya, jitolee wewe hayo unayotamani Pasco awe ameyafanya.
 
uandishi Wako kila siku ni siasa tu ,kuna mambo mengi sana katika nchi yanatakiwa kusemewa!!

Je umewahi kujua waastafu wa URAFIKI na TZR wana miaka mingapi hawajalipwa mafao yao, nini kwanini kwenye mambo ya wananchi mnakuwa Nyuma?

Je umewahi kujua hali za shule za kata katika mikoa mbalimbali? Maana katika nchi hii kuna shule zaidi 389 hawana maabara?

Je umewahi kujua kile kiasi cha pesa (Trillion 1.5) nilikuwaje?

Je umewahi kujua Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma hawana maji kwa miaka 50 sasa.

Jamani taaluma zenu tumieni vizuri

Mr mkiki

Wewe nae unajiona umejenga hoja, yeye ajue ubadirifu kwani ni CAG, au ni TAKUKURU? Au umeambiwa ni mwandishi wa habari za kiuchunguzi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom