Trevo ni nini

Sushe trevo

Member
Dec 13, 2016
7
1
•Ni KINYWAJI LISHE kitamu kilichotengenezwa kwa viungo asili 174 kama matunda,mitishamba,mbogamboga,mizizi na madini
•KINYWAJI LISHE hiki ni matokeo ya utafiti wa wanasayansi uliofanyika kwa miaka minne katika maeneo mbalimbali ya dunia kama vile misitu ya amazon,milimani ya himalaya utibeti,Vina vya bahari na maeneo mengi ya mwituni na ya mashambani.
⇨TRÉVO husaidia magonjwa mbalimbali kwa maelezo zaidi piga simu namba
0629007029
0756262927 (whatsapp)
 
Mkuu ninemuona mwl Angelo anaipublish hii kitu sana ,

So weka maelezo ya kutosha ya kuweza kumshawishi kuiihitaji sababu maelezo uliyotumia ni dhaifu sana

Naomba kuwasilisha
 
•Ni KINYWAJI LISHE kitamu kilichotengenezwa kwa viungo asili 174 kama matunda,mitishamba,mbogamboga,mizizi na madini
•KINYWAJI LISHE hiki ni matokeo ya utafiti wa wanasayansi uliofanyika kwa miaka minne katika maeneo mbalimbali ya dunia kama vile misitu ya amazon,milimani ya himalaya utibeti,Vina vya bahari na maeneo mengi ya mwituni na ya mashambani.
⇨TRÉVO husaidia magonjwa mbalimbali kwa maelezo zaidi piga simu namba
0629007029
0756262927 (whatsapp)
Tatizo la sisi Waafrika Hatuhitaji Vinywaji vya Virutubisho wakati sisi tunayo ardhi nzuri na kila kitu unacho kipanda kinaota na vyakula vyetu sisi ni vyakula halisi havina madhara kwa afya ya binadamu nina maana (Organic foods). Hakuna haja ya kula vyakula vya kutengeneza maviwandani aka GMO, or genetically modified organism. Ni Vyakula vya kutengeneza Ma Viwandani kam hicho kinywaji cha Lishe ya TRÉVO kwetu sisi hakitufai kwanini? kwa sababu kinatengnezwa viwandani na kuwekwa baadhi ya sumu aka Side Effect zenye madhara kwa binadamu kwa hapa nchini Tanzania utakao wapata wa kinywaji cha Lishe labda hawakwenda shule hawajuwi umuhimu wa vyakula vyetu vya Asili Samahani kama nimekukwaza.
 
Ungeelezea inasaidia kutibu maradhi gan hatuelewi unaposema mbali mbali
 
Tatizo la sisi Waafrika Hatuhitaji Vinywaji vya Virutubisho wakati sisi tunayo ardhi nzuri na kila kitu unacho kipanda kinaota na vyakula vyetu sisi ni vyakula halisi havina madhara kwa afya ya binadamu nina maana (Organic foods). Hakuna haja ya kula vyakula vya kutengeneza maviwandani aka GMO, or genetically modified organism. Ni Vyakula vya kutengeneza Ma Viwandani kam hicho kinywaji cha Lishe ya TRÉVO kwetu sisi hakitufai kwanini? kwa sababu kinatengnezwa viwandani na kuwekwa baadhi ya sumu aka Side Effect zenye madhara kwa binadamu kwa hapa nchini Tanzania utakao wapata wa kinywaji cha Lishe labda hawakwenda shule hawajuwi umuhimu wa vyakula vyetu vya Asili Samahani kama nimekukwaza.
nitafute 0756262927
 
Hivi Kuna Kirutubisho Gani Cha Asili Ambacho Hakiwezi Kupatikana Kwenye Tunda, Mbegu (Seeds), Mbogamboga au Mizizi hapa Tanzania Hata Nishawishike Kunywa TREVO??? Ridiculous......
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom