Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Nina uhakika wa 99.99% mradi haujengwi katika miaka 50 ijayo....Labda tumpe miaka 100 huyo mwakyembe wa 2114 aje kujenga.
Mkuu King Kong III huu mradi haujengwi kwa pesa yetu, wawekezaji wanakuja kujenga, na ku na ku run hiyo train kwa muda furani kurudisha gharama zao, baada ya hapo wanarudisha mradi serikalini, kama walivyokuja Wale wachina wakaweka vijana wamevaa reflector kuanzia Mwenge mpaka Surrender bridge, wakihesabu magari yanayopita kwa siku, baada ya uchunguzi wakataka kujenga barabara ya kuu kutoka Mwenge mpaka town kwa pesa yao, kisha kila gari ndogo ilipe 1000 kutumia njia hiyo na makubwa 5000 kwa miaka mitano, baada ya kurudisha pesa yao wakabidhi kwa serikali, ila serikali ikagoma ile kampuni ilikuwa na uzoefu mdogo, pengine hiyo frying over ingeharibika baada ya hiyo miaka 5 tu.
Last edited by a moderator: