Treni yaharibika mara 30 ikitokea Dar kwenda Kigoma............!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Treni yaharibika mara 30 ikitokea Dar kwenda Kigoma............!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Jul 6, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Siku chache tangu treni ya reliya kati kuanza kufanya kazi baada ya kusimama kwa muda wa takribani miezi sita kufuatia kuharibika kwa miundo mbinu ya reli hiyo, kuna habari kuwa treni hiyo katika safari yake ya hivi karibuni kutoka Dar es Salaam kwenda Kigoma treni hiyo iliharibika njiani mara 30.

  Kwa mujibu wa mmoja wa abiria iliyesafiri na treni hiyo waliondoka Dar siku ya Ijumaa jioni na walitegemea kufika kigoma siku ya jumapili saa 4 asubuhi, lakini injini ya treni hiyo ilikuwa ikiharibika hovyo njiani na tatizo kubwa ilielezwa kuwa ilikuwa ikichemsha na mtokeo yake treni hiyo iliwasili kigoma jumapili saa 3.15 usiku badala ya saa 4 asubuhi.....

  My take:

  Sijui kama kweli serikali yetu ina nia ya kuifanya reli ya kati kuwa imara au ndio kampeni za kuwajaza watanzania ujinga ili sisiem wapate kura oktoba maana lazima wakiwa majukwaani wataanza longolongo zao.
   
 2. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani Ule Mkoa sijui mheshimiwa Zito na Serukamba huwa wanaongea nini kwa wananchi wa kigoma kuhusu adha ya Usafiri......tena washukuru walifika the same day No matter hrs difference. Mi nshasafiri na ile treni ikakwama sehemu moja inaitwa KINTINKU for more than 36 hrs hadi tukapiga mechi kati ya Abiria vs Wanakijiji baada ya mechi kiu na maji hakuna...watoto waliteseka sana. ikawa hata kama una milioni mfukoni inakua haina maana koz hakuna cha kununua.....ilifikia kipindi abiria wakataka kuwapiga ma TT...then tukakwama sehemu nyingine inaitwa TURA in short ilikua safari kafiri....

  Lile Shirika ndo limeshakufa for now ni uchaguzi ndo umewapressurize kulirudisha kazini. Angalia ni maisha ya Watanzania wangapi wanaathirika kwa sababu ya wapuuzi wachache walioingia mkataba na TRL.... na hao hao wapuuzi bado wanauwezo wa kusimama na kuomba tena tuwachague.............

  Mchzyyxxyyyy.............
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hakika shirika lilishakufa. Kilichopo ni msukule. Afadhali wauzike na wenyewe.
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,850
  Likes Received: 20,877
  Trophy Points: 280
  kwa kwa kwa kwi kwi kwi he he he hi hi hi hahahahaahahahaahhaah..............
   
 5. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,850
  Likes Received: 20,877
  Trophy Points: 280
  hilo shirika limeoza......reli yenyewe ni ile ya karne ya 10,upana huo hautumiki tena duniani,kwa maana hio ili ku-upgrade wanatakiwa watandike reli upya yenye upana wa kimataifa.....
  hayo mabehewa na engine hata sijui niseme nini,kazi ni kubwa sana kufufua hilo shirika...........
   
 6. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2010
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...Inasikitisha sana!
   
 7. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  hao wanakubali kupanda magofu ya treni ndio wajinga, hawathamni maisha yao. Kwa kuwa JK ni hodari wa kutuma rambi rambi tungoje kusikis rambai rambi kwa vifo vitakavyosababishwa na hiyo treni mbobu na zisizo na bima.
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Wewe kaka Sajenti Hivi train itoke ushenzini INDIA nayo iitwe train??ushaona zakwao wanapanda hadi kwenye injini halafu unakuja kuwaleta huku eti niwawekezaji hivi uliwahi kuwaona hao walijifanya ni ma xpart??waindi weusi wana njaa utadhani sijui nini!!wamechokaaa acha hii nchi ukiwa mjanja unaitafuna mpaka basi!
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Then Waulize ma decision makers wa Wizara ya miundombinu ni shirika gani wanalipa PRIORITY kati ya ATCL na TRL?

  1.WAULIZE ni SHirika Gani Linapata RUZUKU kubwa kati ya ATCL na TRL?
  2.Waulize ni shrika gani kati ya TRL na ATCL linasafrisha asilimia kubwa ya watanzania na Mizigo?
  3. Ni shirika gani kati ya TRL na ATCL limeajiri watanzania wengi?

  4.NI shirika gani wako tayari lisife for just the sake of the so called national prestige?
  5. Ni shrika gani lina impact kubwa kwenye ucumi wa nchi na influnece yetu kwa nchi kama Uganda, Rwanda na Burundi?


  Majibu ya haya maswali utagundua kuwa hata hizo wizara zinaoongozwa na hao wanaitwa maprofesa zinafanya kazi kisiasa zaidi.
   
 10. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Hivi huyo aliyenunua note book kabla ya kuanza safari ili awe ana-note breakdown 1 mpaka 30 alikua nani??
  Mbona hajatueleza ni sehemu gani/vituo gani treni hiyo ilikuwa inafanyiwa matengenezo.

  Angetuambia kuwa treni aliharibika mara nyingi, tungemwelewa, na si mara 30.
   
 11. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  Hapa si takwimu!!Lakini kama amesema mara30 inweza kupresent ubovu wa chombo hicho kwani tunaona mabehewa yanaenda na giza kama yanenda kuzimu!!!Nimengi tukitaka takwimu!!Kaka jambazi mimi ninahisi wewe huwa unachoma mawingu hivyo yaliyopo TRL unayasikia kwenye magazeti!!
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,583
  Trophy Points: 280
  Hatuna utaratibu wa kukarabati mali zetu. Kuanzia miji yetu, usafiri wa barababa, reli, anga hata baharini ndiyo maana kila siku matatizo yanazidi kuongezeka.
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mkuu mi ni mtanzania wa kawaida na huwa sichomi mawingu kabisa, tren ndio ulikua usafiri wangu enzi hizo, sikuizi natumia mabasi baada ya kuona ubabaishaji umezidi.

  Hicho kichwa cha habari cha thredi kinaonyesha mtoa habari ameongeza chumvi, ni bora angeweka neno "kwa zaidi ya mara 30" kidogo ingesound.
  Kwa njinsi ninavyouelewa usafiri huo unavyochosha haiwezekani mwandishi akajakutuambia kwa ku-conclude kuwa alihesabu mpaka mara 30.
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hii inanikumbusha mambo ya AFRICAN RAILWAY kipindi kilichooneshwa na BBC.........yaani TAZARA nayo ni choka mbaya...........watu wanatafutwa maofisini muda wa kazi hawapo.................treni limesimama speed inaonyesha 25........dereva wa treni anaulizwa kama speedometer haifanyi kazi unajuaje mwendo wako.........anajibu naangalia miti pembeni na kutokana na experience anajua anatumia speed gani............duuuhh

  Kwa hiyo wakuu sio reli ya kati pekee hata TAZARA......ni balaaa
   
 15. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160


  Mkuu hapo juu nimecheka sana..... tunashukuru kama wamefika salama, tatizo sasa kama hakuna linalofanyika kurekebisha mapungufu hayo, wengine watafika? Mabasi wanafunga engine za malori, treni hazina meter, ndege zina mende and who-knows-what, bajabi na daladala hazina breki.....
  Tanzania nchi yangu!
   
 16. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kaka jambazi the matter here is to discuss about Tren and not JAMAA ALIBEBA NOTE BOO!!!!!!!!!!!!!!!! Inaonyesha watu wengine hawapo serious! Mimi kwa upande wangu ni kuwa train imeachiwa itembee kwa sababu za kisiasa na si vinginevyo!!
   
Loading...