Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?

abood bus huondoka morogoro kwenda Dar, na Dar kwenda moro kila baada ya nusu saa. route ya train ya umeme at most itafanya route mbili au tatu pekee kwa siku.
wengi wanaenda kifanya shopping dar nankurudi, hasa wale ambao muda wao na ratiba zao zinahitaji uharaka, wataendelea kutumia abood.
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Hivi hiyo tren itakuwa imekamilika kufikia lini? Maana nasikia bado tunaomba mkwanja wa kuijenga!!
 
abood bus huondoka morogoro kwenda Dar, na Dar kwenda moro kila baada ya nusu saa. route ya train ya umeme at most itafanya route mbili au tatu pekee kwa siku.
wengi wanaenda kifanya shopping dar nankurudi, hasa wale ambao muda wao na ratiba zao zinahitaji uharaka, wataendelea kutumia abood.
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
 
Nini itakuwa nafasi ya kampuni za usafirishaji za Abood and Hood kwenda na kutoka Morogoro kufuatia ujio wa treni ya umeme Morogoro - Dar es Salaam?. Naona kama vile itabidi waanzishe routes za Kolomije - Mwanza express
Hiyo train bado sana mkuu kama siyo kiini macho tu
 
abood bus huondoka morogoro kwenda Dar, na Dar kwenda moro kila baada ya nusu saa. route ya train ya umeme at most itafanya route mbili au tatu pekee kwa siku.
wengi wanaenda kifanya shopping dar nankurudi, hasa wale ambao muda wao na ratiba zao zinahitaji uharaka, wataendelea kutumia abood.
Hiyo treni hadi Zuma akubali kutupa mkopo ndiyo ijengwe
 
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?
Kikwazo kwa TRL ni miundo mbinu iliyochakaa
 
Unaonaje kama TRCL nayo ikawa na safari nyingi na za haraka zaidi kuliko unavyofikiri wewe? Kumbuka kuwa treni inakwenda kasi na haina foleni njiani kuliko mabasi. Nani anapenda kwenda Morogoro kwa masaa 4 badala ya SAA 1?

haiwezekani kufanya route nyingi maana abiria si wengi kiasi icho, otherwise uweke kichwa cha train kiwe kinavuta behewa mbili tu. of which is hasara. hii train iyafanikiwa kuua routes za abood za asubuhi sana, labda nanza jioni pekee, na pia ni kwa kiasi kidogo sana.
 
Back
Top Bottom