Watanzania ni lazima tukubali tunapokosea. Hii treni ya Standard Gauge ni ya mizigo na abiria. Kitu cha kushangaza sehemu ambayo inakua kiuchumi sana na ambayo ingeingizia shirika pesa nyingi sana ni Dodoma-Arusha-Kilimanjaro.
Kwanza kuna watalii zaidi ya milioni mbili hata kama watalii laki tano tu wangetumia ingekuwa poa, pili hii treni ingeweza kubeba wine za Dodoma, vitunguu na maharage ya Manyara, nyama ya Monduli na kupeleka Arusha ili ziende kwenye soko kubwa la Kenya.
Lakini vilevile kuna biashara nyingi sana hapo katikati kuna airport mbili na ni sehemu itaendelea kukua sana. Naona sasa treni ndiyo wameanza kushtuka cha ajabu hii treni ya zamani inaweza ikawa inabeba watu kuliko Standard Gauge.
Kama tunataka hii treni mpya ijilipe ni lazima kuwekwe line maana bila hivyo itategemea mizigo na watu wachache. Bila kubagua huwezi kulinganisha kiuchumi Kigoma, Tabora na Kilimanjaro na Arusha. Tusije kushangaa kenya wakaweka treni yao mpaka Tanzania wakijua kwamba italipa.