Treni ya Pugu

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
989
DR Harrison Mwakyembe alituletea usafiri wa abiria kwa njia ya treni DSM na tunamshukuru kwa aka Treni ya Mwakyembe. Kama kungekuwa na jambo la maana kwa serikali ya awamu ya nne ya Jk kulifanya na tukawasifu basi ilikuwa kuzindua ile treni ya Pugu kuja Uwanja wa ndege na hatimaye mjini (DSM City center). Haikuwa hivyo, walishindwa kutimiza matumaini ya kuondoa foleni barabara ya Pugu. Sasa zamu ya Magufuli; kama kaona umuhimu wa barabara ya Mwanza- Airport basi ni rai yangu sasa aone umuhimu wa DSM Center (central) kwenda Airport hadi Pugu. Hii akifanikiwa ni zaidi ya flyover pale Tazara.
Au mnasemaje wadau?
Mniunge mkono tafadhali!
 
haaa kumbe unataka tukuunge mkono eeh sawa....ila mwakiembe ni jipu litakalopasuka soon hafai huyoo linafiki tuuu kwao kyela hamna kituu
 
Wakazi wa jimbo la Ukonga tunaomba tufikiriwe katika hili!!

Reli ipo, mabehewa yapo pia sijui tatizo ni nini!!??
 
Back
Top Bottom