Treni ya Mwakyembe, inapiga mahoni yasiyokuwa na kichwa wala miguu

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,846
2,936
Ndugu zangu mimi ni mkazi inapopita treni ya daladala ya tazara, treni hii imegeuka kero kwa wakazi inamopita, yaani treni inapiga mahoni yasiyokuwa na kichwa wala miguu, njia nzima ni mahoni tuuu, likipita saa 11 asubuhi ni mahoni unaamka kichwa chakuuma, hadi unajiuliza lengo ni nini?

Yaani inakuwa lengo ni kutuamsha au kutuletea kero tu, maana wasafiri wanajua ratiba tayari, ya nini kuamshana kuja kupanda, hivi madereva wa gari nyie mnapiga honi kila wakati? mimi sikumbuki mara ya mwisho kupiga honi, sasa kama gari ni ngumu kupiga honi, treni ambayo barabara yake inaheshimika itakuwaje?

Pia honi ya treni inatembea kilomita nyingi sana, kiasi kwamba kwa njia ya tazara ingetakiwa kupiga honi mara 3 tu na kila mtu anajua inakuja, sasa utakuta hata hakuna mtu njiani linapiga honi tu.

Sijui haka kadereva wamekatoa wapi tu, zamani haikuwa hivi.
 
Raha ya usingizi ni njozi/ndoto nzuri ambazo hizo honi haziwezi kukuamsha wala kuzisikia, sasa kutokana na ugumu wako/wetu wa kimaisha hatupati ndoto nzuri hata kishindo cha mbwa tu utashtuka. Tunahitaji Mabadiliko nje ya Watawala
 
Siamini kama wanapiga hpni tu kwa kujitakia inawezekana watu wanapia or so kwani kwa sasa kumekuwa na muingiliano mkubwa sana wa makazi ya watu na reli inapopita. Just thinking aloud!
 
wanapaswa kufanya hivyo especially sehemu ambazo Barbara za magari hukatiza reli kama warning
 
Pooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
wanapaswa kufanya hivyo especially sehemu ambazo Barbara za magari hukatiza reli kama warning

mkuu nimewahi kulishuhudia hakuna mtu lakini linapiga honi tu, pia unakuta linapiga honi njia nzima, honi moja likipiga gongo la mboto inatosha kabisa kwa wakazi hadi wa kipawa lakini lenyewe honi karibu 20.
 
Ndugu zangu mimi ni mkazi inapopita treni ya daladala ya tazara, treni hii imegeuka kero kwa wakazi inamopita, yaani treni inapiga mahoni yasiyokuwa na kichwa wala miguu, njia nzima ni mahoni tuuu, likipita saa 11 asubuhi ni mahoni unaamka kichwa chakuuma, hadi unajiuliza lengo ni nini?

Yaani inakuwa lengo ni kutuamsha au kutuletea kero tu, maana wasafiri wanajua ratiba tayari, ya nini kuamshana kuja kupanda, hivi madereva wa gari nyie mnapiga honi kila wakati? mimi sikumbuki mara ya mwisho kupiga honi, sasa kama gari ni ngumu kupiga honi, treni ambayo barabara yake inaheshimika itakuwaje?

Pia honi ya treni inatembea kilomita nyingi sana, kiasi kwamba kwa njia ya tazara ingetakiwa kupiga honi mara 3 tu na kila mtu anajua inakuja, sasa utakuta hata hakuna mtu njiani linapiga honi tu.

Sijui haka kadereva wamekatoa wapi tu, zamani haikuwa hivi.

na ndio nyie nyie madereva wakorofi mnao gongaga treni tazara pale kwa ukaidi na ku 'force kuchepuka na kuchomekeana kwenye foleni! honi ni lazima wapige ili kuwashtua wale wanao endesha magari ya shemeji zao na wale waliookota leseni
 
mkuu nimewahi kulishuhudia hakuna mtu lakini linapiga honi tu, pia unakuta linapiga honi njia nzima, honi moja likipiga gongo la mboto inatosha kabisa kwa wakazi hadi wa kipawa lakini lenyewe honi karibu 20.

haijalishi kuna gari au laa...hata barabarani ukikuta taa nyekundu bila kujali kama upo peke yako au Luna magari mengine
 
Ndugu zangu mimi ni mkazi inapopita treni ya daladala ya tazara, treni hii imegeuka kero kwa wakazi inamopita, yaani treni inapiga mahoni yasiyokuwa na kichwa wala miguu, njia nzima ni mahoni tuuu, likipita saa 11 asubuhi ni mahoni unaamka kichwa chakuuma, hadi unajiuliza lengo ni nini?

Yaani inakuwa lengo ni kutuamsha au kutuletea kero tu, maana wasafiri wanajua ratiba tayari, ya nini kuamshana kuja kupanda, hivi madereva wa gari nyie mnapiga honi kila wakati? mimi sikumbuki mara ya mwisho kupiga honi, sasa kama gari ni ngumu kupiga honi, treni ambayo barabara yake inaheshimika itakuwaje?

Pia honi ya treni inatembea kilomita nyingi sana, kiasi kwamba kwa njia ya tazara ingetakiwa kupiga honi mara 3 tu na kila mtu anajua inakuja, sasa utakuta hata hakuna mtu njiani linapiga honi tu.

Sijui haka kadereva wamekatoa wapi tu, zamani haikuwa hivi.
We unauhurumia usingizi wako, wakati dereva anaokoa maisha ya wakatishaji njia ya treni.
Kipi bora?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom