Treni ya Mwakyembe inapata hasara ya milioni 10 kwa siku 5

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na miundombinu mibovu, pamoja na mipango hisiyoridhisha iliyofanywa na mawaziri wa uchukuzi waliopita. Je mh. Mwakyembe inamaana hakuliona ili tatizo? Na kama kweli mh. Mnyika amefanya utafiti nakugundua kuwa mradi huu wa treni hautadumu nini kifanyike sasa? au ndiyo nguvu ya soda kwa serikali yetu?
 
Nathubutu kusema huyo mbunge ni mp.....mbavu,na mjue kuwe kuanza kula hasara mwanzoni sio tatizo,angalieni makampuni makubwa kama google,amazon,etc nyingi zilianza kula hasara for over 5 years mpaka zikaja kupost profit na kuwa mega companies,hilo lilikuwa wazo la waziri kutaka kupunguza tatizo,suala la utendaji,mkurugenzi wa trc si yupo?yeye ndio anatakiwa atoe mchanganuo wa namna ya kuendeleza huo usafiri uje kuwa profitable,huyo mbunge wa ubungo inaonyesha uwezo wake wa kufikiri kwa sababu asijaribu kujitoa hapo kwani yeye sio serikali?yeye akiwa kama kiongozi ametoa ushauri gani ili kuboresha?hii inaonyesha ana upeo finyu wa kufikiri.yeye alitoa wazo gani ili kupunguza tatizo la usafir?ama kajiona baada ya kukaa kwa dakika kadhaa na watu wake akinywa kahawa na kucheza bao anaona aikandie serikali,,mbunge wa ubungo chapa kazi,leta mawazo chanya katika kuboresha usafiri wa treni ama furaha yako ni kuona usafiri wa treni unakufa na wananchi wanarudi katika matatizo yao?samahani kama nimewaudhi lakini penye ukweli yatubidi tuseme ukweli
 
Kwa wale tuliosoma Uchumi. Au hata introduction to uchumi. Is not easy to cover your initial costs in one month for such a big investment. We need to evaluate it in a Long Run. Siasa ibadilike na isiwe ya kukomoana bali kuleta maendeleo. Mheshimiwa kafanya research lakini nadhan anahitaji kupewa Muda zaidi .. Haya ni maoni yangu
 
Kuongea sio kazi saana. Tunaomba mchanganuo hasara hiyo inasababishwa na nini na inatokeaje. Msituletee mambo ya kijinga kila sehemu. Msifikiri tunafurahi shida tunazipata sisi wao wanakula per day tu, na huku watu wengine wanawabwetere kila siku.
 
Nathubutu kusema huyo mbunge ni mp.....mbavu,na mjue kuwe kuanza kula hasara mwanzoni sio tatizo,angalieni makampuni makubwa kama google,amazon,etc nyingi zilianza kula hasara for over 5 years mpaka zikaja kupost profit na kuwa mega companies,hilo lilikuwa wazo la waziri kutaka kupunguza tatizo,suala la utendaji,mkurugenzi wa trc si yupo?yeye ndio anatakiwa atoe mchanganuo wa namna ya kuendeleza huo usafiri uje kuwa profitable,huyo mbunge wa ubungo inaonyesha uwezo wake wa kufikiri kwa sababu asijaribu kujitoa hapo kwani yeye sio serikali?yeye akiwa kama kiongozi ametoa ushauri gani ili kuboresha?hii inaonyesha ana upeo finyu wa kufikiri.yeye alitoa wazo gani ili kupunguza tatizo la usafir?ama kajiona baada ya kukaa kwa dakika kadhaa na watu wake akinywa kahawa na kucheza bao anaona aikandie serikali,,mbunge wa ubungo chapa kazi,leta mawazo chanya katika kuboresha usafiri wa treni ama furaha yako ni kuona usafiri wa treni unakufa na wananchi wanarudi katika matatizo yao?samahani kama nimewaudhi lakini penye ukweli yatubidi tuseme ukweli

Wewe LAZIMA uwe CCM, kwanini usiulize upate mchanganuo.. haya mfano akitoa mchanganuo na kweli ukaonekana kuna hasara utasema nini??? Hata kama wazo halikuwa lake kweli hakuwa na uwezo wa kucheleweshwa kuanzisha hiyo train at least hadi miundombuni ikae sawa???? Au mwakyembe alikuwa anajijenga kisiasa??? Hebu tufikirie vyema mstakabali wa hivi vitu tunavyo vifanya na isije ikawa kama wale walokuwa wanamuomba mg. Raisi aidhinishe kituo cha muda cha Tsh. 2 bil.... Akawagomea hata kingekuwa cha mil 2.... Tuache ushabiki tujiulize why kasema hivyo alivyosema coz naye sio mjinga...
 
Hata hivyo lengo la serikali sio hasara, ni kutoa huduma nadhani jamani hawa wenzetu chadema sio kila kitu ni kupinga angalau Mnyika angekuja na wazo lake yeye analoona linafaa, mimi siamini kama kila kitu kinachofanywa na hawa jamaa ni kibaya japo wamefanya mabaya mengi...
 
hapa mnyika katoa mwanga. kama wakazi wa dar es salaam nmataka muendelee kufaidi usafiri wa treni basi mwakyembe hana budi kufanyia kazi mapungufu yaliyopo. vinginevyo itabaki stori.
Hivi mtu akikwambia hiyo barabara nzuri unayo tembelea mwishoni imefungwa, utakasirika kwakua umetokea kwenye barabara mbaya?.
ni hayo tu. mia
 
Nathubutu kusema ni m..j....nga,atoe hadharani sasa,sio ajabu kwa biashara kuanza na hasara angalia historia ya makampuni makubwa uone,kama anataka faida maana yake nauli ipandishwe,nathubutu kusema na wewe hufikiri vizuri,mtu kuwa chadema ndio amekuwa muumba wako hakosei?funguka akili,kwanza hilo suala sio la kichama ni mkurugenzi wa trc,kama wewe ni mshabiki wa mpira hebu fuatilia timu ya chelsea toka tajiri abramovich amechukua na hasara ambayo alianza nayo uone,na sio hiyo tu angalia makampuni mengi makubwa,kitu hata nusu mwaka tu bado mshaanza kuleta mambo ya siasa?think out of the box

Wewe LAZIMA uwe CCM, kwanini usiulize upate mchanganuo.. haya mfano akitoa mchanganuo na kweli ukaonekana kuna hasara utasema nini??? Hata kama wazo halikuwa lake kweli hakuwa na uwezo wa kucheleweshwa kuanzisha hiyo train at least hadi miundombuni ikae sawa???? Au mwakyembe alikuwa anajijenga kisiasa??? Hebu tufikirie vyema mstakabali wa hivi vitu tunavyo vifanya na isije ikawa kama wale walokuwa wanamuomba mg. Raisi aidhinishe kituo cha muda cha Tsh. 2 bil.... Akawagomea hata kingekuwa cha mil 2.... Tuache ushabiki tujiulize why kasema hivyo alivyosema coz naye sio mjinga...
 
You are thinking out of the box,
kama anataka faida maana yake nauli ipandishwe ndio anachomaanisha

Hata hivyo lengo la serikali sio hasara, ni kutoa huduma nadhani jamani hawa wenzetu chadema sio kila kitu ni kupinga angalau Mnyika angekuja na wazo lake yeye analoona linafaa, mimi siamini kama kila kitu kinachofanywa na hawa jamaa ni kibaya japo wamefanya mabaya mengi...
 
Tusimukumu mnyika labda amefanya cost-benefit analysis.pia mali ya umma inafanywa shamba la bibi ktk utawala wa CCM.
 
Kwa wale tuliosoma Uchumi. Au hata introduction to uchumi. Is not easy to cover your initial costs in one month for such a big investment. We need to evaluate it in a Long Run. Siasa ibadilike na isiwe ya kukomoana bali kuleta maendeleo. Mheshimiwa kafanya research lakini nadhan anahitaji kupewa Muda zaidi .. Haya ni maoni yangu

Humu vijana wetu wangekuwa wanapita mbona wangekuwa wanafaulu maana wanapata practical training na wakichanganya na za kwao wanatoka na kitu kizuri, nimependa maoni yako ila bado na maoni ya Mnyika yanatakiwa yachukuliwe kama tahadhari japokuwa alitakiwa aje na sotution au kubainisha hayo mapungufu kwa undani ili wayafanyie kazi yasitokee
 
Watanzania kwa kutoa tathmini ni mabingwa sana. Ww kama mtanzania umefanya nn kuondoa tatizo?

... Tatizo gani mkuu? Mradi niwa serikali, na mimi mtanzania mlipa kodi, kwa maana hiyo mimi ni mfadhiri wa mradi huu wa treni, kwahiyo ninayo haki yakuhoji. Wewe inaoneka hujaelewa hoja yangu' kuwa mh. Mnyika alisema hayo kuwa kaishafanya tathimini kuhusu mradi huo. Mkuu Jitahidi kusoma vizuri kabla ujadandia hoja!
 
Inabidi kufikia sehemu muache kuchezeshwa kama watoto wadogo,huo upembuzi yakinifu kauona yeye mwenyewe?serikali ama trc hawajui?si autoe hadharani ama ndio kama mnavyorushwa roho kuhusu mabilioni ya uswisi?kama mtu ana fact atoe hadharani,hiyo ni sawa nifike ktk nyumba ya mtu nimwambie mkewe nnavyomuona mmeo ana nyumba ndogo,,mwanamke mwenyehekima ataanza kudadisi kama ni kweli sio kurusha vurumai kwa baba watoto,

Hivi akiambiwa ili treni ijiendeshe kwa faida nauli iwe sh 2000, huyo Mnyika ataongea utumbo gani tena ka nauli ya Kigamboni iliongezwa 200 akataka watu waandamane, treni haijamaliza hata miezi jamaa kaishafanya research, sijui ametumia muda gani kukamilisha kama sio ukurupukaji tu huo na kutafuta publicity?!
Af sio kila huduma inayotolewa na serikali lazima ipate faida...labda angetuambia Muhimbili hospital, Temeke hospital nk. zinajiendesha kwa faida, na kama sio ni kwa nini?
 
Inabidi kufikia sehemu muache kuchezeshwa kama watoto wadogo,huo upembuzi yakinifu kauona yeye mwenyewe?serikali ama trc hawajui?si autoe hadharani ama ndio kama mnavyorushwa roho kuhusu mabilioni ya uswisi?kama mtu ana fact atoe hadharani,hiyo ni sawa nifike ktk nyumba ya mtu nimwambie mkewe nnavyomuona mmeo ana nyumba ndogo,,mwanamke mwenyehekima ataanza kudadisi kama ni kweli sio kurusha vurumai kwa baba watoto,

Taarifa ya hasara akiipata mtu makini itamsaidia kujipanga na kuanza kupata faida. Ninapata shida kwenye mradi unaoendeshwa kisiasa kujiuliza na kuanza kupata faida. Mradi huu mzuri utakufa kifo cha kawaida kama ilivyo kwenye miradi mingi iliyokufa kwa kuendeshwa kisiasa zaidi kuliko misingi halisi ya kuiendesha.
 
Tatizo la siasa katika utendaji? Bado hawajifunzi kwa makosa yaliyo fanyika mwanzo (ATCL) Wacha waue mashirika yote 10% iongezeke?
 
... Tatizo gani mkuu? Mradi niwa serikali, na mimi mtanzania mlipa kodi, kwa maana hiyo mimi ni mfadhiri wa mradi huu wa treni, kwahiyo ninayo haki yakuhoji. Wewe inaoneka hujaelewa hoja yangu' kuwa mh. Mnyika alisema hayo kuwa kaishafanya tathimini kuhusu mradi huo. Mkuu Jitahidi kusoma vizuri kabla ujadandia hoja!
Mtakalia kuongea tu na kutoa tathmini mpaka mate yawakauke!
 
Mkuu kama uliingia kichwani mwangu nakujua ninacho fikiri. Respect
 
Back
Top Bottom