kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,222
- 1,670
Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na miundombinu mibovu, pamoja na mipango hisiyoridhisha iliyofanywa na mawaziri wa uchukuzi waliopita. Je mh. Mwakyembe inamaana hakuliona ili tatizo? Na kama kweli mh. Mnyika amefanya utafiti nakugundua kuwa mradi huu wa treni hautadumu nini kifanyike sasa? au ndiyo nguvu ya soda kwa serikali yetu?