Treni ya Mwakyembe inapata hasara ya milioni 10 kwa siku 5

Mpingapumba

Member
Nov 28, 2012
33
70
Jama mi sioni faida za malamiko yanayozidi kutolewa na baadhi ya watu,hakuna faida cha muhimu ni kutoa mawazo nini kifanyike ili kuboresha na sio kumsema mh.Mnyika kwan naye ni binadamu some times hua anakosea kama wengine wanavyo kosea.
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
8,093
2,000
Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na miundombinu mibovu, pamoja na mipango hisiyoridhisha iliyofanywa na mawaziri wa uchukuzi waliopita. Je mh. Mwakyembe inamaana hakuliona ili tatizo? Na kama kweli mh. Mnyika amefanya utafiti nakugundua kuwa mradi huu wa treni hautadumu nini kifanyike sasa? au ndiyo nguvu ya soda kwa serikali yetu?
Kwa taarifa yake, duniani kote ni kampuni chache za usafiri wa reli zinazo pata faida - si Ulaya si Merikani na sijuhi Mh. Mnyika alijuhi hilo! Mimi ni mmoja wa watu ambao upendelea kusikiliza hoja zenye mshiko za Mh.Mnyika, lakini hili la kumsema Mh. Mwakyemba naona kidogo kateleza, mipango hipi ambayo anasema hairidhishi!! Akumbuke something is better than nothing, tusianze mambo ya kuwakatisha tamaa watu wanao jituma jamani - mambo madogo dogo yanaweza kurekibishwa kadiri muda unavyo kwenda - Ndugu Mnyika Serikali ina more lives than a CAT, WATAJUA JINSI YA KUJIPANDA KUHAKIKISHA usafiri huo unakuwa sustained at all cost; tukianza tena kuwa ma prophet of .... hata wale wenye nia nzuri ya kutukomboa watakatishwa tamaa - hulka ya kutowatakia mema wenzako wanao jituma haikufanani hata kidogo mkuu Mnyika.
 

Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,151
2,000
Tusimukumu mnyika labda amefanya cost-benefit analysis.pia mali ya umma inafanywa shamba la bibi ktk utawala wa CCM.
waache wamseme bila kufikiria na siku moja waje wamkumbuke. Hasara ya m10 kwa siku tano ina maana ni m60 kwa mwezi na m720 kwa mwaka. Siyo hela ndogo. Na kama ni kweli then ni tatizo tena kubwa.
 

SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,420
1,195
Nathubutu kusema huyo mbunge ni mp.....mbavu,na mjue kuwe kuanza kula hasara mwanzoni sio tatizo,angalieni makampuni makubwa kama google,amazon,etc nyingi zilianza kula hasara for over 5 years mpaka zikaja kupost profit na kuwa mega companies,hilo lilikuwa wazo la waziri kutaka kupunguza tatizo,suala la utendaji,mkurugenzi wa trc si yupo?yeye ndio anatakiwa atoe mchanganuo wa namna ya kuendeleza huo usafiri uje kuwa profitable,huyo mbunge wa ubungo inaonyesha uwezo wake wa kufikiri kwa sababu asijaribu kujitoa hapo kwani yeye sio serikali?yeye akiwa kama kiongozi ametoa ushauri gani ili kuboresha?hii inaonyesha ana upeo finyu wa kufikiri.yeye alitoa wazo gani ili kupunguza tatizo la usafir?ama kajiona baada ya kukaa kwa dakika kadhaa na watu wake akinywa kahawa na kucheza bao anaona aikandie serikali,,mbunge wa ubungo chapa kazi,leta mawazo chanya katika kuboresha usafiri wa treni ama furaha yako ni kuona usafiri wa treni unakufa na wananchi wanarudi katika matatizo yao?samahani kama nimewaudhi lakini penye ukweli yatubidi tuseme ukweli

hivi TRC ndo imeanza mwaka huu? unaposema mwanzoni una maanisha upuuzi gani? kwa hayo ulosema hapo juu nahisi ubongo wako umeundwa kwa minyoo
 

Kakalende

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,255
1,225
Mbunge wa Ubungo amesema' serikali inapata hasara ya sh 10 milioni kila baada ya siku tano, ni kutokana na maandalizi duni, amesema itafikia hatua usafiri huo utasimama kutokana na kuwa na miundombinu mibovu, pamoja na mipango hisiyoridhisha iliyofanywa na mawaziri wa uchukuzi waliopita. Je mh. Mwakyembe inamaana hakuliona ili tatizo? Na kama kweli mh. Mnyika amefanya utafiti nakugundua kuwa mradi huu wa treni hautadumu nini kifanyike sasa? au ndiyo nguvu ya soda kwa serikali yetu?
Prophets of doom, MSHINDWE NA MLEGEE!
 

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,489
1,250
Wewe LAZIMA uwe CCM, kwanini usiulize upate mchanganuo.. haya mfano akitoa mchanganuo na kweli ukaonekana kuna hasara utasema nini??? Hata kama wazo halikuwa lake kweli hakuwa na uwezo wa kucheleweshwa kuanzisha hiyo train at least hadi miundombuni ikae sawa???? Au mwakyembe alikuwa anajijenga kisiasa??? Hebu tufikirie vyema mstakabali wa hivi vitu tunavyo vifanya na isije ikawa kama wale walokuwa wanamuomba mg. Raisi aidhinishe kituo cha muda cha Tsh. 2 bil.... Akawagomea hata kingekuwa cha mil 2.... Tuache ushabiki tujiulize why kasema hivyo alivyosema coz naye sio mjinga...
Nilizani kwa ufafanuzi tu alioutoa jamaa hata ninyi wazee wa maandamano (mnaoshikiwa akili zenu na slaaa) mungeweza kuelewa lakiniiiii naona mmendelea kuwa hovyoooo! swala la kuanzisha mradi na hususani miradi mikubwa kama hii moja ya changamoto zake ni hizo! ambazo kwa sasa ni lazima kuziba na kufukia uzaifu huo kwa kadri unavyoonekana, na kwa ushauri wangu kwa huyu dogo ni vizuri ukaondoa huo udhaifu wake wa biasness ambao umempelekea kutokuwa objective kutokana na kuwa singlesided kwa maana ya narrow def. aliyonayo ya mpinzani ni kupinga kila jambo!! so long as linafanywa na ccm, which is a very non sense thinking.
 

Kidzude

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
4,431
2,000
Mnyika kuwa makini, Serikali haifanyi biashara gharama zilizopungua kwa wanamchi indirect ni zaidi ya ten million. Ndio maana jeshi halitengenezi faida.
 

Saskatchewan

Senior Member
Oct 16, 2011
148
195
... Ametoa taarifa mapema ili hasara isiendelee, hadi serikali ijipange kuiendesha project kibiashara
nadhani angeanza kwanza kutatua tatizo la maji ubungo ambalo ni la msingi kuliko kuelezea mapungufu ya treni angekua amefanya cha maana!
 

lowestein

JF-Expert Member
Jul 24, 2011
307
195
Nathubutu kusema ni m..j....nga,atoe hadharani sasa,sio ajabu kwa biashara kuanza na hasara angalia historia ya makampuni makubwa uone,kama anataka faida maana yake nauli ipandishwe,nathubutu kusema na wewe hufikiri vizuri,mtu kuwa chadema ndio amekuwa muumba wako hakosei?funguka akili,kwanza hilo suala sio la kichama ni mkurugenzi wa trc,kama wewe ni mshabiki wa mpira hebu fuatilia timu ya chelsea toka tajiri abramovich amechukua na hasara ambayo alianza nayo uone,na sio hiyo tu angalia makampuni mengi makubwa,kitu hata nusu mwaka tu bado mshaanza kuleta mambo ya siasa?think out of the box
Are you thinging out of the box???? Course if your thinging out of the box ungejiuliza kabla ya kuanza kukubali kupata hasara. Hakuna anayetegemea hasara mwanzo wa biashara na sio malengo ya biashara. Aliyenunu timu ya Chelsea naye hategemei hasara ndomana anachukua hatua za kufukuza makocha kila kukicha. Watanzania tumekuwa na tendency ya kufanya mambo ili kusolve the current issue but few thing of solving for a lifetime. Hoja inapotolewa lazima tuisome then tujiulize why sio kukubali kipum***vu hasara hapo tunaongelea hasara ya taifa sio yakwako na familia yako mheshimiwa.. mtoa hoja katoa but inapaswa tujalidi na NA KAMA UMESOMA NILICHOANDIKA UNGEGUNDUA NIMEONGELEA ALIYE CRITICIZE HOJA YA MNYIKA NA NIMESHAURI TUTAFUTE UKWELI TUUREKEBISHE...
 

lowestein

JF-Expert Member
Jul 24, 2011
307
195
binafsi natamani nione hoja ya mnyika kama ilivyo, vinginevyo kama hoja yake ni kuingiza siasa kukosoa mradi wa treni per se, basi mnyika ameacha kuwa kiongozi makini na rational tuliyemzoea na sasa na yeye ameanza kuiga wengine kutafuta tu umaarufu wa kisiasa; vinginevyo bado naamini kwamba taarifa rasmi ya mnyika haijalenga kubeza mradi huu bali kwanza kutanguliza hoja juu ya umuhimu wake/faida zake kabla ya kurukia hoja juu ya hasara za mradi husika, kwani ni dhahiri mradi huu unahitajika sana na ulikuwa way past due, na zipo changamoto ambazo zilitarajiwa; muhimu zaidi, ni kwa mnyika kuja na mawazo juu ya jinsi gani mradi huu unaweza kuboreshwa zaidi na kupunguza changamoto husika;

kama mnyika kasema yanayosemwa humu, basi ni muhimu aelewe mambo matatu muhimu:


  1. a proper approach ya kuangalia mradi huu ni kufanya a cost - benefit analysis, na ni dhahiri kwamba the benefits outweigh the costs;
  2. miradi ya namna hii utengeneza faida pale tu inapopata ruzuku kubwa ya serikali, na ukweli huu ni kwa nchi zote, sio tanzania tu;
  3. iwapo na yeye anaita treni hii ni ya 'mwakyembe', ni muhimu asahihishe hilo kwani treni hii ni ya umma wa watanzania bila ya kujali itikadi zao za siasa;
well said men.. Not some lunatics criticize mnyika's hoja..
 

Gaijin

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
11,826
0
Mnyika atuonyeshe mchanganuo wake hadi kufikia hilo la hasara ya milioni mbili kwa siku
 

zungupori

Member
Jul 30, 2012
92
70
nyie acheni hizo public/transport systems are not designed for profit, mara nyingi huwa ni subsidized kwani vigogo/wafanyakazi sirikalini hawapati faida fulani toka uma? angalau cost benefit analysis na environmental impact assessment zingefanyika kabla mradi kufunguliwa rasmi. idea ni nzuri, lakini kuna idea nyingi tu nzuri ambazo potential yake haturealize sababu utendaji mmbovu.
 

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Hallo we mnyika,,pamoja na kwamba upo serikalini unajua ni kwa nini mfanyabiashara mdogo akianzisha biashara analipa kodi na mwekezaji mkubwa akianzisha biashara anapewa miaka 5 asilipe tax ,je unajua ni kwa nini? Jua huo mradi sio sawa na biashara ya vocha kununua 950 na kuuza 1000,ni project kubwa ambapo u cant start thinking about profit asubuhi asubuhi tu,it may take years kurudisha initial capital yake kabla hajaanza kupost profit,sio biashara ya nyanya hii ndugu mnyika,its a public transport,kama kuna mambo ambayo hayaendi vizuri kuna watendaji wawajibishwe.


Are you thinging out of the box???? Course if your thinging out of the box ungejiuliza kabla ya kuanza kukubali kupata hasara. Hakuna anayetegemea hasara mwanzo wa biashara na sio malengo ya biashara. Aliyenunu timu ya Chelsea naye hategemei hasara ndomana anachukua hatua za kufukuza makocha kila kukicha. Watanzania tumekuwa na tendency ya kufanya mambo ili kusolve the current issue but few thing of solving for a lifetime. Hoja inapotolewa lazima tuisome then tujiulize why sio kukubali kipum***vu hasara hapo tunaongelea hasara ya taifa sio yakwako na familia yako mheshimiwa.. mtoa hoja katoa but inapaswa tujalidi na NA KAMA UMESOMA NILICHOANDIKA UNGEGUNDUA NIMEONGELEA ALIYE CRITICIZE HOJA YA MNYIKA NA NIMESHAURI TUTAFUTE UKWELI TUUREKEBISHE...
 

Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,458
2,000
Hayo mahesabu yamefungwa lini mpaka hasara ionekane leo, sio kama wabunge wetu wanaishi kwa longo longo na kibaya zaidi hata waupinzani ambao walionekana wakombozi kumbe nao ni wale wale tofauti ni Gamba na Gwanda lakini halmashauri kichwani ziko sawa.

Mbona mwezi mmoja hautoshi, na wataalam wote waonekane machizi kisa mbunge anatakata kutokea katika media kesho. Bado 10 million ni too much manake mafuta au nini kama mabehewa hata matengenezo hayajaanza hata mishahara haijalipwa bado.
 

hacena

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
620
250
hata povu liwatoke kiasi gani treni ile imeanzishwa kisiasa na tusitarajie kuwa itadumu, treni ile haikuwa city treni hivyo hasara ni lazima.
 

Chimbuvu

JF-Expert Member
Jul 17, 2012
4,398
1,225
Sawa sawa basi turahisishe hiyo treni ibinafsishwe apewe mzawa kuiendesha mtu kama robert kisena anafaa coz yupo committed katika shughuli zake.
 

Anthonio

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
202
195
Tumechoshwa na hizi blaa! blaa!, mheshimiwa atupe mchanuo wa jinsi hasara inavyopatikana and how to solve it.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom