Treni ya Mwakayembe yasababisha Dala Dala Kukosa Abiria Sasa zasafirisha Ngombe

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

Hii imetokea huko Pugu baada ya daladala kukosa abiria... Sasa daladala zinatumika kusafirisha ng'ombe.... Hii treni ya Mwakyembe hii....
 
Hii imetokea huko Pugu baada ya daladala kukosa abiria... Sasa daladala zinatumika kusafirisha ng'ombe.... Hii treni ya Mwakyembe hii....

Hahahahahaaaaaaaa!! Wewe mbuzi mzee mbona hukosi vituko?? acha mizaha hiyo bwana............!!
 
Tukipata daladala poa kama hizo mbona tutajidai.., hizo zilikuwa enzi za Ikarus.., sio sasa.., kwa sasa hizo zinapatikana mtoni, huku bongo daladala ni bora kufika tu, hakuna anayejali comfortability ya mteja
 
Mbuzi Mzee unataka kukong'olewa na wapemba? Wao ndo wamili wa daladala hapa mjini wakifuatiwa na wachagga
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona plate Number ni ya Njano? tanzanoia kuna Mabasi ya Daladala yenye plate number njano?
 
Hii imetokea huko Pugu baada ya daladala kukosa abiria... Sasa daladala zinatumika kusafirisha ng'ombe.... Hii treni ya Mwakyembe hii....

............. ng'ombe kwenye daladala.........viti vimeng'olewa? ... daladala hiii....... pichani??????? twiga kwenye ndege....
 
Ayah bhana mbuzi mzee nauli vipi kiasi gani ili kesho ng'ombe wangu niwapeleke wakauze sura kariakoo wananisumbua kweli!
 
Safi sana, this is the only way those daladala guys can have some sense!
 
Back
Top Bottom