habari za kutia matumaini ni kwamba China imerusha ndege yao mpya kwa mara ya kwanza leo. cc Aljazeera English (nimekuta habari ya tv inaishiria ishiria: nimeambulia caption: "First China Domestic jet takes off" ). [HASHTAG]#uzuri[/HASHTAG] wote hawa ni marafiki zetu tutafuata nyayo zao, nina imani na Tanzania yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.