Treni ya Dr. Mwakembe: Picha - Kizuizi Tabata Relini chavunjika.

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,596
1,071
Siku chache baada ya treni hii Marufu ya Dokta Mwakembe kufunguliwa, takribani siku ya tatu sasa Kizuizi cha magari makatisho ya barabara ya Mandela kimevunjika ghafla na kuacha maswali mengi. Pengine uhafifu wa chuma yake kushindwa kumudu uzito vs. urefu??. Au ni cha Mabua, hujuma? Makandarasi wa Bongo wamechakachua tena? Karabatini kabla ya ajali. Long Live Dr.
 

Attachments

  • Tabata Relini Railway crossing.jpg
    Tabata Relini Railway crossing.jpg
    43.8 KB · Views: 616
Hapa ni siku hiyo ya J'tatu asubuhi, treni inapita wakati geti likiwa wazi (juu). Project ni nzuri ila tunaomba wazingatie maswala ya usalama pia. Leo hii nimefurahishwa kuona wanaweka lami kwenye crossing pale mabibo. Hongera Mwakiyembe (Mb). Tunapata huduma, kazi inaendelea.

IMG00778.jpg
 
Back
Top Bottom