chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,385
- 24,939
Takribani abiria 900 wamenusurika kufa baada ya mabehewa matano kati ya tisa ya gari moshi maarufu kama Treni ya "Mwakyembe" lilokuwa likitokea ubungo kwenda Stesheni kutoka katika reli na hivyo kusababisha matairi ya gari moshi hilo lilokuwa likitokea Ubungo kwenda Stesheni kuzama katika udongo eneo la Kamata jijini Dar es Salaam na kushindwa kuendelea na safari yake.
Chanzo:ITV Habari
Chanzo:ITV Habari