Trends Reading: Tetemeko Bukoba, Walinyamaza, Ajali ya Kivuko, Walinyamaza, Shambulizi la Lisu, Walinyamaza, Hili la MO, Hawata Nyamaza!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,565
Wanabodi,

Declaration of Interest
Siungi mkono vitendo vyovyote vya uhalifu wa aina yoyote, hivyo naungana na familia yake, Watanzania na wote walioguswa na tukio hili, kuombea Mo, apatikane akiwa bukheri wa afya, na wahusika watiwe nguvuni, sheria ichukue mkondo wake, ila pia najikita zaidi katika human value, life value, binadamu wote ni sawa, bila kujali hali zao za kiuchumi au status zao katika jamii.

Sotet tumeshuhudia Ben Saanane akitoweka, tumeshuhudia Azory Gwanda akitekwa, lakini hatukuwahi kushuhudia juhudi kubwa za kiwango hiki katika kuwatafuta, thamani ya life ya Ben Saanane, Azory Gwanda na wengine wote waliopotea kwa kutekwa, is the same as Mo, hivyo tuunge mkono juhudi zote za kumtafuta Mo, ila pia tuache double standards, watu wenye hadhi fulani, ndio wanatafutwa kwa bidii, wengine....kwa hapa nashauri tufuate maneno ya nguli wa muziki, Marijan Rajab, Jabali la Muziki, aliyeimba kiitikio " Mtu muone kama mtu sio mpaka awe na kitu".

Kwa vile Tanzania hatuna matukio ya utekaji wa ransom, usikute jeshi letu la polisi hawana abche mambo haya, na kwa vile niliwahi kushauri humu, tusisubiri tushindwe ndipo tuzomee, ukiweza kusaidia saidia tuu, hivyo hapa nalisaidia jeshi letu la polisi, kwa vile ni kawaida kwa mabilionea kutekwa kwa ransom, hivyo natoa wito kwa jeshi letu la polisi, kama kweli wako serious, kufanya secret monitoring his forex accounts, kupitia kitengo cha FIU kilichopo BOT, ku monitor kila kitu wakiona massive withdrawal of bulky cash, wafanye trails secretly zinapelekwa wapi, pia wawafanyie surveillance 24/7, ndugu wote wa karibu, kuanzia kwake, kwa baba yake na ndugu wote haswa Azim Dewji ndie likely the negotiator!, wataona tuu movements, usually usiku wa manane, watawapata watekaji, vinginevyo tutaishia kusikia, Mo, amepatikana ufukwe wa Coco Beach, huku hajitambui na hakumbuki chochote, na hadithi itaishia hapo, kumbe ransom imelipwa.

Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nikimaliza kaji research haka, pia nitafanya kaji reseach kangine kadogo, kuhusu mwitikio wa serikali, media na jamii kuhusu kutekwa kwa watu mbalimbali, kwa nini wengine wanahangaikiwa, na wengine ni kama walipuuzwa fulani?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu kutekwa kwa Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums

Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums

Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!. - JamiiForums
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Wangeandika na habari za MV Nyerere si ndiyo ungelalamika zaidi? Maana ule si ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu vilevile?

Kimsingi naona unaanza kujiandaa kumtetea jamaa yako. Lazima waandike kuhusu kutekwa kwa Mo zaidi kwasababu inawahusu mataifa ya nje zaidi na pia kwasababu ya uwekezaji nk. Pia jamaa yule ni influential na anazo connections pembe zote za dunia. Naona umeshaanza kumuonea huruma msukuma mwenzako.
 
Upinzani ndo huwatumia hizo habari, hayo ya Majanga kama tetemeko, Meli kuzama huwa wanaowatumia habari hawatumi kwa maana hayachafui jina la nchi yetu kiiivyo kwani ni ajali ila kwenye hili la kutekwa/kujiteka maarchitect wenyewe wa mchezo mzima ndo hufanya hivyo hivyo, hutuma habari huko!
ukipenda kutanua mdomo kabla ujashirikisha ubongo ni mbaya sana
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
News is when man bites a dog, not when dog bites a man, however vile!
 
Wewe nawe umekuwa nyuki wa mashine tu...
Tokea MO umeingiwa ubaridi, hata kuandika popote namna ulivuoguswa na hili hujafanya...!
Ni ile kuwekwa mtu kati kule mjengoni ndiyo kumekupooza hivyo ndugu, au kuna agenda gani nyuma ya pazia..?!
 
Maadui zetu ndo huwatumia hizo habari, hayo ya Majanga kama tetemeko, Meli kuzama huwa wanaowatumia habari hawatumi kwa maana hayachafui jina la nchi yetu kiiivyo kwani ni ajali ila kwenye hili la kutekwa/kujiteka ma-architect wenyewe wa mchezo mzima ndo hufanya hivyo, hutuma habari huko.

Kwa mfano utaona hili la Dewji tayari wameshaanza kuingiza mambo ya investors sijui kupoteza confindence na nchi yetu, kwa nini investors hawakupoteza hiyo confidence wakati watu wetu wanapigwa Risasi Kibiti tena huko ndiko Gesi iliko?, ina maana kuna mchezo mchafu dhidi ya nchi yetu, na wahusika tunao hapa hapa nchini, na wengi wao ukiwaangalia machoni sura zao utawajua hawana raha kabisa, unaona evil spirit kwenye nyuso zao, wee jaribu kuwaangalia vizuri utaona, wengine hata hata wana betray marafiki zao na kuwazunguka, evil people!
Mchezo mchafu ni kukataa uchunguzi wa kimataifa na kutuambia wale jamaa ni wazungu.
 
Wangeandika na habari za MV Nyerere si ndiyo ungealalamika zaidi? Maana ule si ulikuwa ni uzembe wa hali ya juu vilevile?

Kimsingi naona unaanza kujiandaa kumtetea jamaa yako. Lazima waandike kuhusu kutekwa kwa Mo zaidi kwasababu innawahusu mataifa ya nje zaidi kwasababu ya uwekezaji nk. Pia jamaa yule ni influential na anazo connections pemebe zote za dunia. Naona umeshaanza kumuonea huruma msukuma mwenzako.

Nashukuru umeona ya Paschal Njaa(kali) na kuitwa kule bungeni naona akili zimeisha sasa anaendeshwa kwa uoga. Siku paschal ukipotea sisi hatutakukumbuka maana u mnafiki wewe. Eti wanaiandika vibaya tz pinga ni wapi wanasema vibaya na kupotosha.

Serikali hii ilituambia viwanda mbona hatuoni vinavyowekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa sasa mmebaki na siasa rahisi kama tissue
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums
Mambo magumu sana, tusilinganishe events past, tuangalie reaction, na plan za future, what will happen if some one in any tribe is kidnapped, nobody will save or say anything?
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, sasa nasubiri kuwaona wataripoti nini kuhusu kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
:rolleyes::rolleyes::rolleyes::oops::eek: That's all I can predict!
Sio kwa mshangao huu
Tuna uvumilivu tutasubiri
Let a spade be a spade not cooking spoon.....
 
Wanabodi,
Nafanya kaji research fulani kadogo, jinsi jarida fulani la kimataifa, linavyopenda kuandika mabaya kuhusu Tanzania, tulipatwa na Janga la Tetemeko la ardhi Bukoba, hawakuripoti, tukapatwa na janga la kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere, mamia walipoteza maisha, lakini hawakuripoti, lakini Lissu aliposhambuliwa, wali mention, pia waliwahi Ku mention kidogo tuu kuhusu kupotea Kwa Ben Saanane na Azori Gwanda, lakini sasa kwa hili tukio la kutekwa kwa Mo, hawa jamaa hawata nyamaza, wataibuka tena na heading kubwa tuu, jee unajua ni kwa nini?.

Nasubiri kuhusu ripoti ya jarida hilo litakavyo ripoti kutekwa kwa Mo, ili nikamilishe research yangu kuhusu baadhi ya media za nje, zinaripoti nini kuhusu Tanzania yetu.

Sijalitaja jarida lenyewe, na huu uzi sio wa kuchangiwa, ni uzi wa info tip, tuu kwako mwana jf, be the first to know, kuwa kuna kitu kitaripotiwa kuhusu Tanzania, next week.

Hivyo naomba tusubiri next week, nitawaletea kitakacho ripotiwa kuhusu Mo.

Kuna watu wangependa nisubiri waripoti, ndipo nipandishe bandiko hili, nikisubiri hivyo, ile hoja vya Utabiri wa Trends, itakuwa, haina maana, kwa sababu mimi zaidi ya kuwa ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, pia ni trends reader, wa kuwaletea baadhi ya matukio kabla hayajatokea.

Nawatakia subiria njema

Paskali
Hizi baadhi ya trends zangu nilizoandika kabla hayajatokea, na yakatokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam - JamiiForums

Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii - JamiiForums

Wito: Magesa Mulongo afukuzwe Kazi kwa Bullying. Dr. Faisal was acting under Provocation! - JamiiForums
Umebadilika sana mkuu siku hizi
 
Back
Top Bottom