Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

Wanabodi,

Bandiko hili ni muendelezo wa ile hoja yangu kuwa Watanzania kwa muda mrefu tumekuwa tukifanywa mazuzu na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kwa kutuletea ujinga, na wanasiasa wajinga, just to take us for granted kuwa kwa vile ni chama kikubwa, kinapesa sana, kinapendwa sana, na kinakubalika sana, hata wakisimamisa jiwe, jiwe litachaguliwa!.

Ujinga huu ndio CCM imewafanyia wana Kinondoni kwa kuwaletea mgombea aliyewafanyia ujinga fulani kinondoni.

Hivyo baada ya Chadema kumtangaza Salum Mwalimu, kugombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio, naamini hata wana CCM wasiokubali ujinga huu, watamchagua Salum Mwalimu!.

Inaendelea

Paskali
Safi sna kaka kuna baadhi ya vitu lazima tusimame pamoja km watanzania mtu awezi kuitia nchi kwenye hasara kwa sababu za kijinga hlf kesho watu wa mchague tna utakuwa utoto...
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni muendelezo wa ile hoja yangu kuwa Watanzania kwa muda mrefu tumekuwa tukifanywa mazuzu na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kwa kutuletea ujinga, na wanasiasa wajinga, just to take us for granted kuwa kwa vile ni chama kikubwa, kinapesa sana, kinapendwa sana, na kinakubalika sana, hata wakisimamisa jiwe, jiwe litachaguliwa!.

Ujinga huu ndio CCM imewafanyia wana Kinondoni kwa kuwaletea mgombea aliyewafanyia ujinga fulani kinondoni.

Hivyo baada ya Chadema kumtangaza Salum Mwalimu, kugombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio, naamini hata wana CCM wasiokubali ujinga huu, watamchagua Salum Mwalimu!.

Inaendelea

Paskali
 
Mkuu Pascal Mayalla, CCM kwa Siha na Kinondoni wameingia kwenye 18 zetu na hicho ndicho tulikitaka....Ananyolewa mtu bila kiwembe na mwana CCM yeyote atakayetuletea ujinga! Narudia tena atakayetuletea ujinga! TUNAMUUA! TUTAMCHINJA TUTENGANISHE SHINGO NA KIWILIWILI!
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni muendelezo wa ile hoja yangu kuwa Watanzania kwa muda mrefu tumekuwa tukifanywa mazuzu na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kwa kutuletea ujinga, na wanasiasa wajinga, just to take us for granted kuwa kwa vile ni chama kikubwa, kinapesa sana, kinapendwa sana, na kinakubalika sana, hata wakisimamisa jiwe, jiwe litachaguliwa!.

Ujinga huu ndio CCM imewafanyia wana Kinondoni kwa kuwaletea mgombea aliyewafanyia ujinga fulani kinondoni.

Hivyo baada ya Chadema kumtangaza Salum Mwalimu, kugombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio, naamini hata wana CCM wasiokubali ujinga huu, watamchagua Salum Mwalimu!.

Inaendelea

Paskali
Mkuu kwani mgomo wa ukawa umeisha? Kilicjhowafanya wagomee chaguzi iliyopita kimekwisha fanyiwa marekebisho? Tegemea ushindi wakishindo ccm km cdm haitaacha usanii. CCM haikubaliki sana ila hakuna mbadala.tunaowategemea km mbadala wa CCM hawaeleweki ni vituko kwa kwenda mbele!
 
Wanabodi,

Bandiko hili ni muendelezo wa ile hoja yangu kuwa Watanzania kwa muda mrefu tumekuwa tukifanywa mazuzu na baadhi ya wanasiasa na vyama vya siasa kwa kutuletea ujinga, na wanasiasa wajinga, just to take us for granted kuwa kwa vile ni chama kikubwa, kinapesa sana, kinapendwa sana, na kinakubalika sana, hata wakisimamisa jiwe, jiwe litachaguliwa!.

Ujinga huu ndio CCM imewafanyia wana Kinondoni kwa kuwaletea mgombea aliyewafanyia ujinga fulani kinondoni.

Hivyo baada ya Chadema kumtangaza Salum Mwalimu, kugombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio, naamini hata wana CCM wasiokubali ujinga huu, watamchagua Salum Mwalimu!.

Inaendelea

Paskali
Usije ukalalama kuwa umeibiwa kura na kuanza kulalamikia NEC na Polisi wewe Mr. Njaa!!
 
Salum Mwalim anaweza kuja kushinda endapo tu Cuf wangekubali kumtoa mgombea wao na kumsupport Mwalim but otherwise chadema kushinda kinondoni hiyo ni ndoto..Cuf ndio chama pekee cha upinzani kikubwa sana maeneo ya kinondoni...nimekulia huko so ninauwakika na hichi ninachokisema.
You're very RIGHT... CUF, at least original CUF ina nguvu sana Kinondoni!
 
My vote to Salum Mwalimu! Sababu kubwa ni kutaka kuvunja vunja hii janja janja ya CCM.

CCM kumsimamisha mgombea ambae amehama chama wana nia moja tu: Kutuma ujumbe kwa wabunge wengine wa upinzani kwamba, "Toroka uje na tutakusimamisha tena wewe mwenyewe kwa tiketi ya CCM!"

Endapo CCM watazabuliwa huko Siha na Kinondoni, hiyo itapeleka ujumbe kwa wabunge wengine kwamba hawana guarantee ya kurudi tena madarakani!

Asikuambie mtu... Ubunge mtamu bhana!
 
CHADEMA hata wakeshe wanafanya kampeni hawawezi kushinda kwenye Jiji la Makonda , hivi mnamjua RC Makonda au mnamsikia hawezi kukubali Jimbo likaenda kwa hao Wahuni
Asikubali yeye ndiye anawapigia kura wanakinondoni mbona issue za u meya alikaa kama panya aliyetumbukizwa kwenye maji?
 
Pascal naona ushalipwa kwa kazi yako ya public relation unapiga chapuo si vibaya ni ajira ila nikupe tu wapiga kura wa Chadema kinondoni hawapo tena wale vijana machinga wengi walishachoma kadi za kura na wameapa kutopiga kura milele baada ya Lowasa kushinda uraisi na madhila waliyofanyiwa na meya jakobu akiwa meya wa kinondoni .Subiri siku ya kura ndio utajua Chadema nafikiri wanataka kuangalia kama wana bado wanachama wengi kinondoni
 
Back
Top Bottom