Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,405
Waziri wa Nishati needs to go. Tanesco inafilisika, inahitaji sio chini ya $200m haraka to sustain business. Hakuna taasisi itakayotoa mkopo bila guarantee kwamba mkopo utalipwa, na hili litahitaji tariffs kupanda. Muhongo amelivuruga shirika katika hili na anapaswa kuwajibika.
Waziri wa fedha ameshindwa kusimamia uchumi wa nchi, hasa bajeti. Bajeti yake ya karibia TZs trilioni 30 haikuwa realistic. Haitekelezeki. Pia vyanzo vya mapato ya serikali vimeshindwa to deliver. Anahitajika mtu Mpya.
Waziri wa mambo ya nje - tumekwama, tumejivuruga na jumuiya ya kimataifa.
Waziri wa Elimu - tumebomoa kuliko kujenga in the past one year. She needs to step aside.
Waziri TAMISEMI - masuala yote ya kimaendeleo ngazi za chini kuanzia elimu, afya, kilimo, Maji nk yanasimamiwa na wizara hii. Hakuna kinachofanyika. He needs to go.
Waziri wa nchi Muungano na Mazingira - tangia Uhuru mgogoro wa muungano haujawahi kufikia hali mbaya kama leo; pia mabadiliko ya tabia nchi yameathiri sana usalama wa chakula na wizara haikuja na intervention yoyote ya maana. He needs to step aside.
Waziri wa Chakula needs to go too. Ameshindwa kusimamia vyema the issue of national food security. He needs to go.
Waziri wa Katiba na Sheria. Taifa limepoteza fedha na muda kujikita katika mchakato wa katiba ambao matokeo yake yametupwa jalalani na yeye ametetea hilo. Akae pembeni.
Waziri wa utumishi - self explanatory. Hakuna kipindi watumishi wa umma wamedhalilishwa kinyume cha Sheria na katiba kama kipindi hiki. Hatoshi, she needs to go.
Waziri wa Habari - self explanatory.
And so forth and so forth.
Karibia kila wizara inahitaji mabadiliko.
Waziri Mkuu ameshindwa kusimamia serikali ipasavyo katika masuala yote haya na mengine mengi ikiwa ni pamoja na kushindwa kumshauri Rais ipasavyo. Yeye pia ajitafakari katika nafasi yake. Kama atabaki, basi mawaziri wote mizigo huko juu washughulikiwe.