Marcel_10
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 389
- 160
Sijui umfikiria Nini kuandika ulichoandika
KWANGU NAONA NI UPOTOSHAJI NA UMETOA USHAURI WA HOVYO HOVYO SANA
Ngoja nikupe kaelimu kidogo
Treasury bond ni risk free ( ikimaanisha hupotezi kile utakachowekeza )
Nikupe mfano
Ukiwekeza 100Million kwenye treasury bond ya miaka 20, ambapo Bank of Tz wanatoa riba ya takribani 15.49%
Maana yake kwenye 100Million kila mwaka utapata faida ya 15.49Million kila mwaka ( yaani kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa ishirini utakuwa unapata faida ya 15.49million ) ambayo kwa ujumla utapata faida ya 309.8Million (15.49*20=309.8)
Kwahivyo
Kwenye investment ya 100million ndani ya miaka 20 , utapata faida ya 309.8million + 100million (investment ) na ukiamua usiwe unachukua pesa zakk za faida ( riba ) kila mwaka bhasi baada ya miaka ishirini utakuwa na kiasi Cha 409.8 millions ambazo haujawahi kuzifanyia kazi 😂.
Kwa muda huo huo
Unaweza kuchukua certificate yako ya bond, kwenye commercial bank yeyote Tanzania unaweza ukapata mkopo wa wa Zaid ya 75%
Naomba nihitimishe kwa kukwambia
Uwekezaji wa treasury bond ni uwekezaji mzuri na wenye faida sana