Treasury Bonds/T-bonds/T-Bills/Bonds/Hati Fungani ni Uwekezaji "Kichaa"

Marcel_10

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
380
250
Sijui umfikiria Nini kuandika ulichoandika
KWANGU NAONA NI UPOTOSHAJI NA UMETOA USHAURI WA HOVYO HOVYO SANA
Ngoja nikupe kaelimu kidogo
Treasury bond ni risk free ( ikimaanisha hupotezi kile utakachowekeza )

Nikupe mfano
Ukiwekeza 100Million kwenye treasury bond ya miaka 20, ambapo Bank of Tz wanatoa riba ya takribani 15.49%

Maana yake kwenye 100Million kila mwaka utapata faida ya 15.49Million kila mwaka ( yaani kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa ishirini utakuwa unapata faida ya 15.49million ) ambayo kwa ujumla utapata faida ya 309.8Million (15.49*20=309.8)

Kwahivyo
Kwenye investment ya 100million ndani ya miaka 20 , utapata faida ya 309.8million + 100million (investment ) na ukiamua usiwe unachukua pesa zakk za faida ( riba ) kila mwaka bhasi baada ya miaka ishirini utakuwa na kiasi Cha 409.8 millions ambazo haujawahi kuzifanyia kazi 😂.

Kwa muda huo huo
Unaweza kuchukua certificate yako ya bond, kwenye commercial bank yeyote Tanzania unaweza ukapata mkopo wa wa Zaid ya 75%

Naomba nihitimishe kwa kukwambia
Uwekezaji wa treasury bond ni uwekezaji mzuri na wenye faida sana
 
osib

Member
Jan 19, 2017
91
150
Usidhani watu wote wana interest ya kufanya biashara kama ww.....so wanahitaji garentee ya kipato flani ambacho yy anarizika .....kuna wengin anaweka kwa ajil ya watoto anajua hata nikiondoka leo wanangu hawawez kukosa ada.... wengin wanaweka hko coz wanataka wawe na safe investment tofaut ....tofaut ....
 
MKIBAIGWA

Senior Member
May 25, 2017
165
500
Bora umewaambia kukosa maalifa kubaya sana .

Mm nawaangalia watu wanaenda kununua hisa DSE eti ambalo liquidity ni ndogo sana.

Masoko ya hisa ya USA yapo watu tunapiga tu hela
 
lunatoc

JF-Expert Member
Aug 16, 2017
1,575
2,000
Sijui umfikiria Nini kuandika ulichoandika
KWANGU NAONA NI UPOTOSHAJI NA UMETOA USHAURI WA HOVYO HOVYO SANA
Ngoja nikupe kaelimu kidogo
Treasury bond ni risk free ( ikimaanisha hupotezi kile utakachowekeza )

Nikupe mfano
Ukiwekeza 100Million kwenye treasury bond ya miaka 20, ambapo Bank of Tz wanatoa riba ya takribani 15.49%

Maana yake kwenye 100Million kila mwaka utapata faida ya 15.49Million kila mwaka ( yaani kuanzia mwaka wa kwanza mpaka mwaka wa ishirini utakuwa unapata faida ya 15.49million ) ambayo kwa ujumla utapata faida ya 309.8Million (15.49*20=309.8)

Kwahivyo
Kwenye investment ya 100million ndani ya miaka 20 , utapata faida ya 309.8million + 100million (investment ) na ukiamua usiwe unachukua pesa zakk za faida ( riba ) kila mwaka bhasi baada ya miaka ishirini utakuwa na kiasi Cha 409.8 millions ambazo haujawahi kuzifanyia kazi .

Kwa muda huo huo
Unaweza kuchukua certificate yako ya bond, kwenye commercial bank yeyote Tanzania unaweza ukapata mkopo wa wa Zaid ya 75%

Naomba nihitimishe kwa kukwambia
Uwekezaji wa treasury bond ni uwekezaji mzuri na wenye faida sana
Mimi mwenyewe nimemshangaa mleta mada.

Tena ikibidi unaenda kununua Treasury Bonds ya nchi Kama UK , USA , German hata Japan huko
 
KateMiddleton

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,495
2,000
Mfano nimewekeza 700M maana yake kila mwaka nina 108M

Kwa miaka 20 nitakuwa nimetengeneza 108 kila mwaka

Swali je nikiwekeza 700M ninaweza tengeneza 108M?

Look kid

Ni bora niwekeze kwenye hizo Hati fungani

Sasa 108M nitaanzisha Ranch business

Mwaka wa kwanza 108M nanunua shamba lenye deed katavi huko lets say 50K per acre nanunua 2,000 acres natulia

Mwaka wa pili napata 108M napanda majani na irrigation system

Mwaka wa 3 napata 108M najenga nyumba na miundo mbinu ya kwenye ranch hiyo

Mwaka wa 4 nanunua ngombe sasa natafuta mbegu Bora naweza kuanza na ngombe 200

Mwaka wa 5 108M nunua eneo jingine la 2,000 acres

Yaani after 15 years

Nina mashamba ya acres 10,000 yenye ng'ombe 2,000

Sasa value ya kampuni ambayo inamiliki acres 10,000 na ng'ombe 2,000 kwa mwaka huo acha tu

Halafu 700 bado imetulia
The golden question is
How do you get 700Million in the first place!😄
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,076

Hahahah watu hawaelewi tu hii kitu raha yake uwe na hela kubwa ya investment! Kuna watu wanaishi kwa mfumo huo huo bila stress hapa mjini.Hela inayoingia inamtosheleza mtu kuishi mwaka mzima bila presha yani. Mfano mtu kama diamond platinumz akiwekeza hata 5B tu anakamata mpunga mrefu tu kila mwaka ambao anaweza akawa amekaa tu hela inaingia.

Government bond ni uhakika mie ningeweza kuwekeza humo japo kwa 1B ningeishi maisha ya raha mustarehe hapa duniani yani sababu kimsingi gharama za maisha yangu haziwezi fika 100M kwa mwaka na hapo umelipa ada watoto wanaishi comfortably na gari zinawaka na kwenda garage😅😅😅 sababu watu wa kipato cha kati tu wana survive mwaka mzima with likely 20M -25M!

Million 100+ hata inflation iweje kwa miaka 20 wewe utaendelea kutoboa tu kimaisha na unaweza ukawa una invest kwenye business zingine kupitia faida hio hio!

Hati fungani inawafaa watu wenye hela ndefu sie unga unga mwana tutaendelea kuiona haina maana.
 
Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,076
2,000
Uwekezaji mzuri wa ada for a lifetime ya watoto..
Mfano una 100m today ukilipia ada bila kuwekeza miaka michache tu imeisha..
Ila ukiweka huko...
For 25 yrs ada ya uhakika unayo...
Yeah hutakaa uumize kichwa kwanini watoto hawana ada
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom