Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Nawashauri TRC wakamate fursa ya kusafirisha abiria kati ya Dodoma na Dar es Salaam. Toka serikali imehamia Dodoma kumekuwa na upungufu mkubwa wa magari ya abiria hasa weekend. Nashauri waanzishe safari rasmi mfano kuwe na treni kila ijumaa jioni na isimame Morogoro pekee vilevile kila jumatatu alfajiri itoke Dar es Salaam kwenda Dodoma