Travel Warning kutoka Amnesty International!

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,639
33,413
Wakuu,

Hii ni mara ya kwanza kuona jumuiya ya kimataifa ikitoa statement kama hii against kiranja mkuu Marekani. Siasa za dunia zinabadilika au ushawishi wa Marekani upo compromised?

Screenshot_20190809-074905_Twitter.jpeg
 
Vipi na balozi zetu zikitoa statements? Hawa si wamezoea kutoa kwa wengine? Mbona balozi zetu za Kiafrica zipo kimya ...
 
Kuna uhusiano gani wa ushawishi wa Marekani na hiyo alert iliyotolewa ?
Kwasababu binafsi sijawahi kuona shirika kubwa la kimataifa likitoa travel warning kwa nchi ya Marekani. Wewe umewahi kushuhudia? Hivi vitendo vilivyotokea juzi ni vya kwanza?
 
Sasa onyo limetolewa kwa sababu ya gun violence ambazo kiuhalisia zina target makundi madogo ya watu wanaotaka kuingiza tamaduni zao au kutawala wenyeji. Mfano Hispanic, Black people na Muslims
wewe unaleta habari za ushawishi lol! Fikiri hata kidogo mkuu.
.
Siasa za Trump ndio zinaleta huu mgawanyiko
 
Wakuu,

Hii ni mara ya kwanza kuona jumuiya ya kimataifa ikitoa statement kama hii against kiranja mkuu Marekani. Siasa za dunia zinabadilika au ushawishi wa Marekani upo compromised?

View attachment 1176305
Huenda ina lengo maalum la kuishinikiza serikali ya Trump ichukue hatua mathubuti juu ya GUN VIOLENCE Na hasa baada ya EL PASSO shootings.
 
AI wangetoa tahadhari kama hii kwa nchi kama Yemen, Sudan, Venezuela nk kabla ya USA.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom