Kwanini usibaki na mawazo yako kuliko kutuletea ujinga hapa, kwavipi mfungo wa ramadhan unaweza kuingilia utendaji wa mtu kama sio udini huo?Kama hizo rumor ni kweli basi i bet for Dau najua karibia ataanza mfungo wa mwezi mtukufu, ni mawazo tu wadau.
...I like the way Kenyans got their AG and his Deputy...why should we Tanzanians wait for a one man show?????Kwani walitangaza hiyo vacancy?
Kama haakutangaza kwa nini wasifanye hivyo ili kupata the most acceptable candidate?
jf imetawaliwa na udini. hakuna mchango ambao wahusika wanaweza kuuchukua na kuufanyia kazi zaidi ya kupondana kiudini udini...
<br />Mi ningekua Dr. Dau nisingekubali kuachia uDG NSSF kwa ajili ya uCEO TRA... Maana itakua ni DEMOTION!
Apumzike kwa amani ila ameua vipaji vya wafanyabiashara chipukizi na kukumbatia wawekzaji. Ameharibu nchi, Kaua uchumi, Tax planning butu, kila siku wanaongeza asilimia za kodi bila kuanzisha vyanzo vipya vya kodi. Bora asingekuwepo hali ya maisha ya wafanyabiashara ingekuwa afadhari
Mimi siami kama Dr Dau ni mdini (kama inavyosemwa)...lakini hata hivyo nimekuwa najiuliza mara kadhaa kwa nini anatajwa sana hasa ukizingatia kuwa kuna ma CEO wengi tu wenye dini inayofanana na Dr Dau lakini wao husikii wa kitajwa sana kama ilivyo kwa Dr Dau. Inawezekana ana maadui wengi labda (lakini hata kama ni hivyo bado swali la kwa nini yeye tu linabakia).
Mkuu kama umewai kupita pita ndani ya ofisi za serikali ya Tanzania utakuwa unalijuwa hili hakuna watu waliooza kama watumishi wa Umma kwa ujumla wao, ukisikia wanamsifia mtu andika katika note book huyo mtu ni bomu wa kutupa. wao wanaita mshikaji, hana noma!