Trapped to a married man

Once a in snitch, always a snitch. Akiiacha familia ili awe na familia na wewe unajihakikishia vipi kuwa hatokuacha siku moja kuwa na familia nyingine?

Halafu hiyo familia yenu wote mna akili za kufanana mkubaliane na ndoa ya aina hiyo?
Snitch = Mtu anayesemelea wengine au kutoa siri upande m'moja kupeleka upande mwingine pinzani.


Mkuu umetumia neno snitch hapa kumaanishaje sijakuelewa?!


Au ulitaka kusema neno adulterer au cheater?!
 
Qmamamae, halafu kuna Mpumbafu mmoja huko anataka Kumjua Mwanamke!? Tangu linitokee tukio langu tarehe 25/07/2012, taabu niliyoipitia, uchungu nilioukwaa, kejeli nilizozipata. Hakika sitotaka wala kutamani kumjua tena. Wewe dada fanya unavyojisikia tu, kwani Mbunye si yako bana
Ha ha ha ha ha

Dah mkuu umerekodi hadi tarehe....?!
 
Nilishapoa ndugu, ila huwa kuna mambo nikiyaona huwa naghafirika sana. Ujue kujitoa kwa mtu ukiwa huna au una kidogo ila unaona wacha apate yeye kwanza angalau asijeweweseka na wenye navyo na mipango kede kede kumbe mtu huku pembeni ana mipango yake tofauti juu ya hicho mnachokipanga kila siku mkiwa wawili.

Huyu mdada kwa nini asimwambie tu huyo jomba ambaye yupo single kwamba mimi sina mpango na wewe, niko na mtu ila ukitaka kukaa kaa, usipotaka kaangalie mbele ili jomba achague mwenyewe. Kawahold wote halafu anashindwa kuamua afanye lipi
Kweli mkuu, ndio maana watu huwa wanauwa kabisa.
 
Snitch = Mtu anayesemelea wengine au kutoa siri upande m'moja kupeleka upande mwingine pinzani.


Mkuu umetumia neno snitch hapa kumaanishaje sijakuelewa?!


Au ulitaka kusema neno adulterer au cheater?!
Nilitaka tu kuonyesha kuwa ukiwa na tabia flani mbaya basi unayo tu. Inawezekana huo mfano haukufit hapo. Nilichemsha
 
nilijua lazima uni quote kwa hili, Hilo swala halihitaji rocket science kujua mwanamke mwenzangu anadaganywa akicheza atakuwa single mother na umri uwe unaenda vile vile
Why usimshauri afocus na huyo kijana mwingine asiye na ndoa?!

Umekuwa very fast kumshauri akadange na mume wa mtu?!

Maadili yako yamekaaje lakini unajua huwa unanikata stimu wewe mtu?!
 
Hapana mpaka hapa nimebadili maamuzi
Rafiki usiwe mkali sana haya mambo unaweza kuona kama marahisi lakini si hivyo ukiwa wewe ni muhusika
Nime update uzi mawazo yamebadilika kidogo
Huwezi pata utata kama ndani ya nafsi yako akili yako inaongozwa na roho mtakatifu wa MUNGU.

Ila ukitumia hizi akili za akina cariha au wadangaji utaona utata kufanya maamuzi.....
 
Mke wangu nampenda mno na sipo tayari kumpoteza ila nimeshaamua liwalo na liwe. Yule mdada siwezi kumuacha aliwe na wahuni wengine maana jinsi ninavyomfeel siwezi hata kuelezea. Tukiwa chumbani huwa napata raha isiyokifani hivyo nimeshaamua bora nimuoe tu kuliko kumwacha akaolewa na mwanaume mwingine nikaishi a miserable life for the rest of life. Wife will have to just understand. I love her (my wife) but I'm also deeply in love with another woman.
Hahahahahha sa itakuwajeeee jmnnn
 
Huyu mtu wangu ana kazi nzuri tu lakini hajamfikia jamaa
Am not materialistic to be honest hii sio issue kubwa
Bado shida ni kwamba nawapenda watu wawili kwa wakati mmoja
Olewa na kijana mwenzio ili kupata na kulinda ndoa kwa couple zote mbili

ila mkimissiana mnajiiba kidogo hapo kila mtu mke wa mtu na mume wa mtu...,life happens.,Haya mambo hadi yakukute ndo utaelewa
 
Sana aisee
Ila huyu dada kusema kweli yuko njiapanda:

1. Kuacha fursa ya uchumi kunahitaji uwe na roho wa Mungu kweli kweli. Ni wanawake wachache sana hawanasi kwenye mtego wa uchumi. Hata wake za watu wengi tu wanashindwa kutunza uaminifu wa ndoa zao wakikutana na mtego wa pesa.

2. Kuna shida somewhere kwenye ndoa ya huyo mwanaume. Huyo jamaa hajamtafuta huyu binti kwa bahati mbaya. Ndo maana anathubutu kumtambulisha kwa ndugu zake. Ktk situation hii, siyo rahisi kwa huyu dada kuchomoka, isitoshe kwake ni fursa.

3. Wadada wengi wanapenda wanaume wenye navyo tayari (kitu ready made). Yule dogo bado ana husle kimaisha, bright future is still uncertain. Bado hajafika level ya mshua, na huenda asifike kabisa. Au afike after so many years.Sasa mdada ule msemo 'we live now' ndo unampa nguvu.

4. Prediction is difficult in either case. Anaweza olewa na dogo, naye baada ya uchumi kunoga akaanza kuzingua tena. Wanaume wengi tabia zao halisi hujulikana baada ya pesa kukubali.

5.Mwenyezi Mungu amuongoze kwenye maamuzi yake
 
Watu wanaona afadhali kuendelea kuzini kuliko kuolewa kihalali!! Ukiolewa, utaendelea kuzini au huyo kijana au utaachana naye, vinginevyo utakuwa ni msichana mwenye “ugonjwa”!!
 
Back
Top Bottom