Transmission of power from people to Magufuli.Hii ni sawa?

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Magufuli ameshaonesha ni kwa kiasi gani atakuwa mbabe na dictator.
Hivi kuwaomba watu wahamishe nguvu kutoka kwa wananchi kwenda kwa Magufuli!
Sasa hapa akishakujiona kuwa amepora nguvu ya umma atawajibikaje kwa watu aliyewanyang'anya madaraka?
 
Najiuliuza tu .Juma nyosso yupo wapi maana naona magufuli anapigisha watu push up. Wengine wanabaki wamesimamia kucha
 
Back
Top Bottom