Translator wa lugha ya english-swahili anatafutwa

Status
Not open for further replies.

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu watu wa Mungu, kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Anatafutwa mtaalam wa lugha hususan ya English na Swahili kwa lengo la kutranlate kitabu Cha Kiswahili to English.

Vigezo:

1. Awe na uelewa mzuri wa lugha ya kiswahili na Kiingereza
2. Awe na ujuzi wa matumizi ya Computer na speed ya kuandika.
3. Awe na akili timamu na mtu anaefahamika kwa makazi maalumu.
4. Ajue kusoma na kuandika

Mawasiliao.

0655112023
 
Kazi wapi mkuu?? I mean eneo la kazi ni mkoa gani? Kama ni dar nitaaply
 
Habari zenu watu wa Mungu, kama kichwa kinavyojielezea hapo juu, Anatafutwa mtaalam wa lugha hususan ya English na Swahili kwa lengo la kutranlate kitabu Cha Kiswahili to English.

Vigezo:

1. Awe na uelewa mzuri wa lugha ya kiswahili na Kiingereza
2. Awe na ujuzi wa matumizi ya Computer na speed ya kuandika.
3. Awe na akili timamu na mtu anaefahamika kwa makazi maalumu.
4. Ajue kusoma na kuandika

Mawasiliao.

0655112023
Kama upo DSM nenda pale DUCE kuna mwalimu anaitwa Ben Kumpanga anafanya hizo kazi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom