Translation of this Taarab song

karina255

New Member
Feb 4, 2019
1
0
Does anyone know the translation of this Taarab song. Apparently its in old Swahili? Thank you

Beru lina marumba la vumba,*2,
lambaje,lambaje beru siuganga,mume wangu kaogelea vumba ,
Lambaje beru c uganga,then verse,mgeni cku ya kala wali na panza*2,
Mgeni siku ya pili mkaribishe mgeni ,mgeni siku ya tatu nyumbani hakuna kitu,
Beru lina marumba la rumba,lambaje lambaje beru si uganga,mume wangu kaogelea vumba,lambaje beru si uganga
Kuku lala lala eee kuku lala*2
Waliosema hayawi,mbona yamekua, waliosema hayawi mbona yamekua,mbona yamekua we oyeeee ,mbona yamekua,mbona yamekua we oyeee mbona yamekua,
Huo mtende unakatika*4
,wakati wa kukatika hukatika katukatukatu ka,hio nyuma inabomoka *4
Wakati wa kubomoka hubomoka bom bom bom bo
 
wakati nawasha embassy hapa ngoja tusubiri wajuvi ya kiswahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom