Transforma Yalipuka Makumbusho karibu na Jengo la Inter House tukiwa kwenye foleni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Transforma Yalipuka Makumbusho karibu na Jengo la Inter House tukiwa kwenye foleni!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tete'a'tete, Jul 13, 2010.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu!

  Nawasabahi! ndio kwanza nimeingia ofisini asubuhi hii nimepatwa na masahibu wakati niko kwenye folen kuja ofisini maeneo ya Millenium Tower transforma imelipuka nilikuwa nimeacha kioo cha gari yangu wazi sasa ule moto kidogo umeniga mkono wangu wa kulia hauna nguvu..ndo nataka nielekee hosipitali wakanicheki...kwa kweli kilichotokea baada ya huo mlipuko kila mtu ameelekea njia yake imagine mimi nimekuja jistukia hiko nyumba ya jengo la millenium towers! Jamani aliyepata habari kamili ya hili tukio atuhabarishe....I thank God sikupata Ajali...
   
 2. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu hebu iweke vizuri ili tukuelewe. Transforma gani, kwenye jengo lipi na nini hasa kimetokea?
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180

  Mwache kwanza atulie kiwewe kimtoke, hataki kuwaachia nchi mafisadi kiulainilaini
   
 4. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Transforma ninayoiongelea ukiwa unatokea mwenge kwenye barabara ya Ali Hassan Mwinyi ukishatoka makutano ya Sayansi kwenye mataa kabla hujafika Millenium Tower opposite yake na kabla hujafika Jengo la Inter House kuna Transforma ndio iliyolipuka! Niliposikia mlipungo mi nilidhani ni yale mabomu yaliyopigwa Uganda ndio yamehamia bongo maana folen ilikuwa ni kali sana....Mkuu bado mkono hauna nguvu nadhani umepatwa na hitilafu....
   
 5. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Aksante mkuu na pole kwa tafrani hiyo. Wadau wengine humu naamini wataendelea kutupasha nini kinaendelea huko.
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Mkono umepona?? Pole sana!!
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Pole sana kaka, ndio infrastructure zetu zilivyo, mbovumbovu na si za kuaminika
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Inaweza kuwa njia nzuri ya kuharakisha foleni za magari!!!
   
Loading...