Transfoma yalipuka jirani na TBC

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Transfoma kubwa imelipuka eneo la kituo cha utangazaji TBC moto mkubwa unawaka na baadhi ya majengo ya TBC yanawaka moto

SOURCE: ITV BREAKING NEWS
 
Ni kweli nimepita hapo na kuona hiyo kitu ikiendelea. Wachina walijaribu kutumia fire extinguisher wakashindwa. Nikaendelea na safari hadi maeneo ya Victoria nikakuta Fire fighters wa Knight Support wakiendelea kupata Lunch ya chakula cha mchana kwa mama ntilie kama vile hakuna kilichotokea.

Hii nchi we acha tu!
 
aseee, si juzi tu lililipuka jingine hapo na kujeruhi??
au wanweka ya kichina.
 
yaani bora hako ka TBC kaungue kote maana pale limekuwa chaka la Magamba na kijiwe cha kujipendelea kwenye ma news...
 
Nasikia si jengo la TBC bali la Star Times. Jamani uchuro wa kushangilia maafa uachwe!
 
tena hao Star times ni mafisadi wa kutupwa wametuletea dekoda feki, chozi la mnyonge kwao malipo ofisi zao kuungua moto

Nasikia si jengo la TBC bali la Star Times. Jamani uchuro wa kushangilia maafa uachwe!
 
Na mimi nimepita wakati linalipuka nikajua "al shabab wamefanya kweli maana ni boonge la moshi..af nikapishana na fire brigade maeneo ya moroco..yawake tu moto ..mpssxxxyy
 
Ni vema kufanya maamuzi Magumu watanzania.Nchi yetu ipo mashakani kwani viongozi wetu hawajali na chakushangaza uongozi wote wa jeshi la polisi upo hapo.Mbona wizi ukitokea hawafiki?Polisi wanajipeleka mpaka Rpc kuna nini hasa,just Transfoma imeungua ama wanataka kusingizia Chadema?
 
hahahaa lbd wameunguza wenyewe ili wapandishe kodi kwa kisingizio wanaijenga TBC iliyolipuka
 
Back
Top Bottom