Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Transfoma kubwa imelipuka eneo la kituo cha utangazaji TBC moto mkubwa unawaka na baadhi ya majengo ya TBC yanawaka moto
SOURCE: ITV BREAKING NEWS
SOURCE: ITV BREAKING NEWS
Hureeeeeeeeee
Mungu amesikiliza kilio cha watanzania
aseee, si juzi tu lililipuka jingine hapo na kujeruhi??
au wanweka ya kichina.
Nasikia si jengo la TBC bali la Star Times. Jamani uchuro wa kushangilia maafa uachwe!
umesikia wapi? Mana ITV BREAKING NEWS WAMESEMA NI TBCNasikia si jengo la TBC bali la Star Times. Jamani uchuro wa kushangilia maafa uachwe!
chozi la mnyonge limesikika
hahahaa lbd wameunguza wenyewe ili wapandishe kodi kwa kisingizio wanaijenga TBC iliyolipukaNi vema kufanya maamuzi Magumu watanzania.Nchi yetu ipo mashakani kwani viongozi wetu hawajali na chakushangaza uongozi wote wa jeshi la polisi upo hapo.Mbona wizi ukitokea hawafiki?Polisi wanajipeleka mpaka Rpc kuna nini hasa,just Transfoma imeungua ama wanataka kusingizia Chadema?
yaani bora hako ka TBC kaungue kote maana pale limekuwa chaka la Magamba na kijiwe cha kujipendelea kwenye ma news...