trans-gender

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,158
7,459
Wakuu naomba kufahamu kuhusu hawa watu, Ni watu wa aina gani mana nawaona ni wanume kama ni wanawake. Wanatafauti gani na Gays? Kimomba kidogo kinatutatiza sie wengine.
 
Google na wewe kijana mdogo
Usituletee ushoga humu
Kwendraaaaa
 
Hao ni maraia walioamua kubadilisha jinsia zao.
Lets say mwanamke anafanyiwa an operation kuwa Mwanaume n vice versa.
 
Hao ni maraia walioamua kubadilisha jinsia zao.
Lets say mwanamke anafanyiwa an operation kuwa Mwanaume n vice versa.

Lakini mkuu kwa mujibu wa ufahamu wangu hawa watu wapo miaka mingi sana na hizo operation si za hivi miaka ya karibuni tu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom