Trans-africa hydrometeorogical observatory)kwa anayejua jinsi ya kuwasiliana

Sonam96

Member
Jan 29, 2019
8
45
Habari...
TAHMO (Trans-africa hydrometeorogical observatory)now ipo dar. Kwa anayejua jinsi ya kuwasiliana nao naomba anisaidie nahitaji internship. Nina shahada ya metereology
Ahsante
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom