Tramadol caps naipenda sana

Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
367
495
Wakuu yani kwa kaz ninazozifanya inanifanya nakua active sana..
1 mara moja kwa siku haina haja ya bangi wala pombe..
 
ndugu yangu nakushauri acha labla hayajakukuta yaliyonikuta. tramadol sio nzuri kabisa mwenzio nimepata dependance inasumbua sana unaamka asubuhi kama una homa lkn ukisha meza tu unapona sasa kuwa makin sana . afu kuna kipindi yenyewe inakuletea homa inayengeneza sumu flan mwilin inakuwa kama inakuunguza acha kabla hujafika hatua niliyo nayo mimi nimeitumia tangu 2017. acha ndugu yangu sio nzuri kabisa na ukishupaza shingo utakuja kuniambia siku moja maana hata mimi niliambiwa leo hii nalia
 
Atakua alishaacha
 
Back
Top Bottom