joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hii ni kudhihirisha kwamba, Tanzania ni tegemeo la nchi zote katika ukanda huu, wakati huohuo mauzo ya mchele kwenda Rwanda, Uganda na Kenya yameongezeka Mara dufu mwaka huu.
Kutokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula mwaka huu, na kuendelea kupungua kwa mavuno kwa nchi za Kenya, Malawi, Zambia, Msumbiji na Zambia, Tanzania inategemea kuuza chakula zaidi mwakani.
NCHI YA MAZIWA NA ASALI.