Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Nov 28, 2013 #3 Matumizi mazuri ya rasilimali.....
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Nov 28, 2013 #4 vipi mida ya jioni wale watumiaji wa ile kitu ya BobMarley hukutaninao kweli mitaa hiyo?
Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Nov 28, 2013 #5 vipi mida ya jioni wale watumiaji wa ile kitu ya BobMarley hukutaninao kweli mitaa hiyo?
M mzighani Senior Member Apr 11, 2011 109 9 Nov 28, 2013 #6 hapa kwetu bongo hiyo ni chuma chakavu, itagombewa kama mpira wa kona
maroon7 JF-Expert Member Nov 3, 2010 11,143 15,130 Nov 28, 2013 Thread starter #7 Red Scorpion said: vipi mida ya jioni wale watumiaji wa ile kitu ya BobMarley hukutaninao kweli mitaa hiyo? Click to expand... Bila shaka kwao humo ni maskani wanaweka na kitanda kabisa
Red Scorpion said: vipi mida ya jioni wale watumiaji wa ile kitu ya BobMarley hukutaninao kweli mitaa hiyo? Click to expand... Bila shaka kwao humo ni maskani wanaweka na kitanda kabisa
omujubi JF-Expert Member Dec 6, 2011 4,325 2,498 Nov 28, 2013 #8 inaelekea maeneo hayo hayana wazee wa chuma chakavu.
M Mkeshaji JF-Expert Member Jan 7, 2011 4,262 1,416 Nov 28, 2013 #10 Hili daraja linafaa sana kuwekwa tandale kwa mtogole.
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Nov 28, 2013 #11 Achukibesi said: Nimeipendaga Click to expand... Duuh umeipendaga!!!!