Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,428
- Thread starter
- #41
Hapana mkuu, kumlaumu yerere katika muktadha wa mada hii ni kumuonea tu bure. Kwa mfano huwezi ukaniambia kuwa mtu kwenye zama hizi kuchagua kushabikia ujinga kwa mfano ni sababu ya Nyerere ambaye hayupo dunianikumlaumu nyerere nilikua naweka rekodi sawa...... yes, yeye ndiye chanzo cha yote haya hasa sera zake!!!!......