Tragedy of the commons in Tanzania political life: Wakati wa mateso yako, uko tayari kusimama peke yako?

kumlaumu nyerere nilikua naweka rekodi sawa...... yes, yeye ndiye chanzo cha yote haya hasa sera zake!!!!......
Hapana mkuu, kumlaumu yerere katika muktadha wa mada hii ni kumuonea tu bure. Kwa mfano huwezi ukaniambia kuwa mtu kwenye zama hizi kuchagua kushabikia ujinga kwa mfano ni sababu ya Nyerere ambaye hayupo duniani
 
Back
Top Bottom