TRAFIKI/SERIKALI WAPO BIZE KUPIGA FAINI MAGARI BINAFSI HUKU MAGARI YA SERIKALI YANATEKETEA

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Nadhani hii ni kama laana ya watu wanaolalamika kuwa kwa nini faini ziwahusu wao tu au magari binafsi huku ya serikali yakitamba yanavyotaka bila kufuata sheria na kuogopwa
Na hii itaendelea sana hadi fairness itakapowekwa kwenye sheria
 
I see. Sio kwamba ni ajali tu za kawaida tu jamani?
Nadhani hii ni kama laana ya watu wanaolalamika kuwa kwa nini faini ziwahusu wao tu au magari binafsi huku ya serikali yakitamba yanavyotaka bila kufuata sheria na kuogopwa
Na hii itaendelea sana hadi fairness itakapowekwa kwenye sheria
 
HUU MFULULIZO WA AJARI UNATIA SHAKA...!

NAMKUMBUKA MAMA MMOJA ALIKUWA ASKARI WA USALAMA BARABARANI PALE MLANDIZI MIAKA YA '2000+' ALIKUWA ANA TOCHI, SO MSAMAHA WALA HURUMA HAKUWA NAVYO.

NAKUMBUKA MADEREVA WALIKUWA WANAMCHUKIA SANA NA KUMPA ONYO.

Muda haukuwa mrefu mara upele, majipu nwilini baadae sijui alipotelewa wapi.
 
Si walifukiza madereva wazoefu ..wakaleta wapya wenye kiwango kubwa ya ufaulu wa cheti

Ngoja tuwe watazamaji
 
Back
Top Bottom