Trafiki Polisi agongwa na gari kwenye mataa ya Magomeni

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Nipo kwenye foleni naelekea Kimara 2mekwama hapa jangwani,nasikia amepata majeraha tu..Alikuwa kazini akiongoza magari.
 
Pole sana trafiki ajali kazini inshallah Mungu atakuafu ili uache kupiga mabao. Huenda waswahili uliowapiga mabao wameamua kukupiga bao kwa kutumia bodi. Askari wa bongo bwana kwa rushwa! Utadhani waligundua wao!

kuna mmoja alinikamata majuzi maeneo ya kibaha kwa kosa la overspeeding, nikampiga na 5000 moja alifurahi kupita maelezo. akaniambia nakutakia safari njema rafiki yangu wakati alikuja akiwa amenuna kinoma ghafla akawa rafiki yangu.
 
Gonga nguruwe hao, wanakera wote hao lao moja, kutusumbua na kuomba omba
 
Hivi hawa polisi ni hawalipwi mshahara jamani? Wanaomba, wanadai, na kukwapua rushwa kila kona ya nchi hii. Yaani wanasumbua watu hadi wanatia aibu. Serikali haiwachukulii hatua. Takukuru haiwafundishi hata ile adabu yenyewe. Watanzania tunanyanyasika hadi basi. Ni vyema hao wanaowaandaa kuwa polisi wakawafundisha maadili ya kazi yao.
 
"Bandika maji Mboga nareta sasa hiv"-Haya haya Traffic huyo cjui km tutapita

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Faini halali ni 30,000, watu mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa pia inaweza kuwa fake.
 
Faini halali ni 30,000, watu mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa pia inaweza kuwa fake.

Rushwa unajengwa na watoaji, tukomae kulipa 30,000/ na kupata risiti halali
 
pole saana, traffic kwa ajali, msijiamini kupita kiasi, ongozeni magari kwa uangalifu mkubwa, unaporuhusu magari yanakuja kwa kasi hivyo, unapotaka kusimamisha ili uite upande mwingine ndipo uangalifu unapotakiwa kusimama mbele ya gari ni hatari, mnalaumiwa mnavyojikimu lkn wanakiri , mnawasaidia ,WITO; kujikimu kwenu, kunainyima mapato, serikali , na misamaha mnayotoa pia inainyima mapato serikali, wekeni malengo, kusanyeni mzigo wa kutosha kisha mpeane bonus.
 
acha wafe wanakera sana hasa wa migomigo na wale wa ubungo, wakishakula viroba vyao wanaita upande mmoja tu! unaweza kukaa kwenye foleni hadi ukachina, ni bora wangeacha mataa yafanye kazi sio hao wala viroba!
 
ebu serikali boresha maisha ya hawa watu bwana yaani siku hiizi inatia aibu sana yyaani trafik sana sana wale wa kike yaani wanakuwa kama dada zetu wa ambiance bwana yaani wako shapu hii ni hatari sana kwa ulinzi na usalama wa nchi coz mtu akitoa pesa tuu basi kazi haifanyiki hii ni hatari sana
 
Faini halali ni 30,000, watu mnapoza kwa 2,000 au 5,000 mnalaumu. Lipeni 30,000 mpate risiti ingawa pia inaweza kuwa fake.

Usalama barabarani sio kupigana faini tu. Elimu na kueleweshana kwanza. Sasa hata kama una gari ndogo private wanakupiga tochi na ukisimama ni faini tu.
 
kuna mmoja alinikamata majuzi maeneo ya kibaha kwa kosa la overspeeding, nikampiga na 5000 moja alifurahi kupita maelezo. akaniambia nakutakia safari njema rafiki yangu wakati alikuja akiwa amenuna kinoma ghafla akawa rafiki yangu.

Chezea rushwa wewe,
 
acha wafe wanakera sana hasa wa migomigo na wale wa ubungo, wakishakula viroba vyao wanaita upande mmoja tu! unaweza kukaa kwenye foleni hadi ukachina, ni bora wangeacha mataa yafanye kazi sio hao wala viroba!

Hujui ulisemalo, wale jamaa wanasaidia sana mengine ni makosa ambaye ni kibinadamu!!

Usiombee iongoze taa unaweza kulia labda iwe mchana.
 
Gonga nguruwe hao, wanakera wote hao lao moja, kutusumbua na kuomba omba

Nguruwe wanaoficha pesa usiswi, hao trafiki ni matokeo tu...hao ni maskini wenzetu tusiwalaumu sana ngoja tupambane na mapapa vidagaa vitakufa peke yake.!
 
Back
Top Bottom